Siku Mwigulu atakapoongoka na kutubu

Hayo yanayomkuta Mwigulu muda si muda yatamfikia na mtoto pendwa wa mkulu maana anajifanya haambiliki anajua kila kitu kama nchi hii ya ukoo wake , amesahau kila kitabu na zama zake.

Sipati picha zama hizi zikipita atakuwa wapi na hali gani! muda ni mwalimu mzuri sana huo haukosei
 
"MWIGULU RAIS" aisee kila kona nikipita nilikuwa nayaona haya maandishi daaah nikawa najiuliza anawatuma.watu mwandikie au watu wanajipendekeza kwa hahahah
 
Mwacheni Mwigulu. Maandishi yake ya "Mwigulu 2015" bado yako kila mahali katika nchi hii. Nina hakika ana mpango wa kugombe kiti cha Urais mwaka 2020. Anayo haki, na mimi namwunga mkono. Kwani kuna mtu anazuia wengine kugombea kiti hicho? Wapiga kura ni sisi wananchi. Kila anayeona anaweza na ana support ya wananchi, basi asiogope kuchukua fomu na kugombe. Mwigulu 2020 is already trending......
Anaweza akagombea kweli lkn si kupitia ccm maana mkulu ameshabadirisha kanuni hakuna mgombea mwingine atakaye simama kupambana na mkulu kupitia chama cha kijani.

Anaweza kugombea kupitia chama kingine lkn siyo ccm
 
Ninachoweza kusema yuko njiapanda.... Ndoto zake bado ziko live kama wengine... Ila anaona kama zinataka kuzimwa kwa nguvu na mtu aliyemzidi maguvu
Mbaya zaidi mbeleko ya bashite anayeonekana kubebwa vema inawakera kimyakimya
Ni kweli mbeleko ya Bashite inawaumiza wengi mno hasa wabunge wa CCM. Mguse Bashite unase
 
Kwanza pamoja na maovu yake yote napenda kumpongeza kwa kufaulu kupata daraja la juu la elimu kiwango cha PhD... Ni daraja ambalo wachache hufikia na kulipata.

Mwigulu wa leo sio Mwigulu wa zama zile za JK, kijana shupavu machachari kabisa mpaka kufikia kujipa jina la field Marshall Mwigulu akivaa kofia kama ya mpigania mapinduzi Che guevara na scarf yenye rangi za bendera ya Taifa
Ni Mwigulu huyu aliyehusishwa na tuhuma kibao nyingine za kimafia kabisa za kutaka kukiangamiza CHADEMA na kukifuta kwenye ulingo wa kisiasa.

Kifo cha Mwangosi, kifo cha kamanda mawazo, Mabomu ya Eralei Arusha, ishu ya Alfred Lwakatare nknk kote huko alihusishwa kwa namna moja au nyingine.

Ndani ya ccm kipindi yeye na Nape ndio vijana waliokuwa wanawika na kutamba zaidi, wakijulikana kama kiboko ya upinzani (CHADEMA)
Ni Mwigulu huyu huyu aliyeingia kwenye kinyang'anyiro cha urais na kujitapa kama si kujinadi kama chagua sahihi la mrithi wa JK.

Alichafua kuta ma majabali sehemu mbalimbali nchini na maandishi yake ya MWIGULU RAIS nk.

Nyakati huenda na kubadilika. Majira huja na kuondoka... Zama hazifanani... Wavuni na wavumi huwa na vipindi vyao.. Haliwi jambo la milele. CCM ya leo huwezi kumsikia katibu mkuu Kinana, yuko kimya kabisa, Ya Nape katibu mwwenezi machachari yanajulikana wazi, sasa hivi anapambana na hali zake huko Tweeter, yeye na Membe.

Mwigulu yuko kwenye mtanziko na kibano kikali, hapumui hafurukuti pamoja na kuwa na cheo kikubwa cha waziri wa ulinzi... Mkulu kamchana wazi. KWANI UNAFIKIRI SIKUJUI? KAA KIMYA KABISA.

Mwigulu bado ana ndoto za kufika mbali kisiasa hana tofauti na Makamba Jr, hana tofauti na Nyalandu ambaye yeye kuachwa kwenye utawala huu kumemrahisishia kuchukua maamuzi magumu. Hana tofauti na Nape bado ni vijana hawa.

Kinachomtatiza Mwigulu kwa sasa ni hizi nira za madaraka aliyonayo na historia yake kwa yale aliyoufanyia upinzani. Ana wakati mgunu
BTW ikitokea akapigwa chini sasa anaweza kujilipua. Anaweza kuongoka na kutubu na kuomba kupokelewa CHADEMA. Ni vigumu mno kuweza kufanya hivi lakini kamwe dunia haiishiwi maaajabu. Lolote laweza kuwa.
mkuu uliona mbali
 
Utabiri umetimia, turejee ya nyuma
 
Ndo hay

Ndo hayupo sasa
 
Madhabahu ya kutubia ipo, atubu tu.
 
Back
Top Bottom