LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,721
- 13,959
Habari. Nina news za Mwigulu ya kuandika jamii forum. Iko hivi:
Kwa kawaida mbunge ni kiongozi ambaye anatakiwa kuwa mstari wa mbele kuvutia uwekezaji jimboni kwake.
Lakini Katika hali ya kustaajabisha sana, mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi yeye anapinga wawekezaji wakati yeye hafanyi uwekezaji wowote jimboni zaidi ya miradi yake binafsi nje ya jimbo tena kwa kutumia fedha za serkali. Mwigulu bila aibu anafanya jitihada kubwa kujenga seminary pale kiomboi na kushawishi taasisi ya kanisa la kilutheri kufuta chuo maarufu cha Bible school na kubadili kuwa Seminary eti kwa nia ya kumdhoofisha mwekezaji mwingine aliyejenga Katala High School jirani na Iliyokuwa Bible school. Kama hiyo haitoshi, Mwigulu kaamuru ijengwe shule ya sekondari Iramba ktk eneo la Salala kata hiyo hiyo ya old Kiomboi ilipo Katala high school na seminari anayoifadhili ijengwe. Nia ikiwa ni hiyo hiyo kumdhoofisha mwekezaji wa Katala High school. Anafanya hivyo wakati kata za jirani zilizoungana za kiomboi na old kiomboi tayari zina secondary za Lulumba, Kiomboi, na New Kiomboi na sasa Iramba secondary. Vitongoji na vijiji vya Ruruma, Shati, mkonze na Meli havina shule za sekondari ambapo watoto wanatembea hadi kilomita kumi kufuata shule zilizopo kiomboi mjini kwa uzembe na ubinafsi tu wa mbunge kupitia madiwani ambao wote yeye ndio amewapigania wapate udiwani wakati hawajiwezi kifikra kabisa.
Kama hiyo haitoshi, kuna mwekezaji alitaka kujenga VETA ktk kijiki cha kisiriri na yeye Mwigulu kamuwekea vikwazo na kuzuia. Kuna mwingine alishawishi chuo cha IFM kijenge tawi Singida napo akapinga.
Sasa Iramba ina mbunge wa aina gani?, halafu Rais wa nchi anamwamini mtu mbinafsi kiasi hicho. Hii ni hatari kwa maendeleo ya Iramba na wilaya inazidi kudidimia siku hadi siku.
Wana Iramba amkeni na kumkataa mtu huyu. Hafai kuiongoza Iramba.
Na wapi wawekezaji wrngine wakija hawapati ushirikiano na viongozi wa wilaya na kuambiwa mbunge hataki wawekezaji eti wanatishia kumuondolea ubunge wake. Vingozi wa wilaya wanasema wakimpokea mwekezaji hasa mzaliwa wa Iramba wanahatarisha kazi zao na kuna mifano ya ealuofanyiwa njama na kufukuza ama kuhamishwa n misingi hiyo. Kwa ujumla
Mwigulu hafai kuwa kiongozi hata wa kitongoji. Rais atakuwa tu amefunikwa na ushirikina ambao ndio kinga kuu na sifa ya Mwigulu Chemba na pesa anazoiba na kugawa kubakia kwenye nafasi hiyo.