SIKU 90 za Magamba zimekwisha, gamba bado limeng'ang'ania

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya mkutano wake mjini Dodoma, bila kuwapo kwa mkutano wa NEC ambao ndiyo wenye mamlaka ya kutekeleza ajenda ya kuwafukuza mafiasadi ndani ya chama.

Je, hadi hapo nani anaweza kubisha kuwa CCM haina uwezo wa kushughulikia mafaisadi? Nape awekwa uchi siku 90 zimekwisha. Naomba kuwasilisha.
 
285587_224280750941126_100000776075386_556463_2312589_n.jpg
 
Back
Top Bottom