Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,780
Nukuu :-
"Akijibu swali la Mbunge wa Pangani Mh Rished Abdallah,
Naibu waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia, Dr Maua Daftari, alisema matumizi ya muda mrefu ya simu za mikononi ni hatari, hivyo tunawashauri wananchi watumiaji watumie vifaa vinavyokuja na simu kwa ajili ya kupunguza athari husika.
Wataalamu wa mionzi wamethibitisha matumizi ya sikio la kulia wakati wa mazungumzo ya simu yana madhara makubwa kiafya, kuliko madhara yapatikanayo kwa kutumia sikio la kushoto.
Fikiria unapotoka kuongea kwa simu takriban nusu saa, unapomaliza maongezi sikio hubaki na m'binyo wa kutosikia kama kawaida yake.
Na endapo ungewekewa kifaa maalumu cha kuliangalia sikio lako muda huo, pengine usingerejea kuongea na simu.
Kwani sikio hua jekundu kama moto!
Na hayo ndiyo hua madhara ya nje tu, wakati kwa ndani madhara hua ni makubwa zaidi.
Kwa vile bado matumizi ya simu ni kitu kisicho epukika, basi tunawashauri mtumie zaidi sikio la kushoto".
MWISHO WA NUKUU
Wadau nimeleta kumbusho hili nikielewa si members wote waliobahatika kulijua hili, hivyo itakua ni faida kwao, nami nitalipwa na Mungu kwa hili.
Aidha kwa wanaofahamu hili nawakumbusha.
Na atakaetaka Source afanye backdate gazeti Tanzania Daima Jumatano, August, 13, 2008