Sikiliza Namna Wakenya Wanavyofikiri Pale Serekali Yao Inaposhindwa Kuwajibika

ya damn right iam......

semeni nyie mie nikisema itaonekana najipendelea frankly watz it'll take century kutukuta wakenya.....watz siasa kwa kila kitu hata mambo ya msingi
Kuwakuta wapi?....cowards kama nyinyi hamuwezi kuwa kama watz,while we were fighting for our brothers/comrades down south,you were trading with the boers!!....what a b*tch a*s nation!!!
 
Moi aliwahi kumwambia Nyerere shukuru Mungu wewe unatawala maiti na mimi natawala binadamu...
 
Wakenya hongereni sana. Kweli Kenya ina wanaume kamili ambao lao ni HOJA sio porojo za siasa au dini. Msimamo kama wananchi. Hapa kwetu Tz ni porojo za KIKE tu kutafuta umaarufu kama wasaka wachumba, SHAME on them.
Ndio maana EAC wanaume wa Tz wataolea wote na wa Kenya, kazi kwenu.
 
Back
Top Bottom