Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
- Thread starter
- #21
Namtakia kila la heri...Kila jambo lina wakati wake na MUNGU hufanya kwa makusudi kabisa ili yeye atukuzwe Milele..Wala hahitaji faraja kwa sasa kwani huzuni na mateso vilishaisha...Ana bahati kwani amepata hata fursa ya kusoma PHD wapo ambao wanatamani lakini hawataweza kufikia malengo hayo kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao.
nakubaliana na wewe kuwa kwa sasa anahitaji kumtukuza Mungu zaidi kuliko kufarijiwa, machungu yameishapita, alipitishwa kwenye maji, lakini Mungu akamkinga asigharikishwe..............mwacheni Mungu aitwe Mungu.....................