Sijui tunaenda wapi?

Kweli Afrodenzi ya 2010 ipo si unakumbuka niliahidi kukutafutia,lakini bado sijaipata.Ila huko 2015 tena sijui kutakuwaje?

nakumbuka uliniahidi na bado nasubiria ......
birthday imepita sasa na dhani itakuwa zawadi ya x-mass lol
we dont need to worry about 2015 ... sababu hazitakuwepo lol
 
nakumbuka uliniahidi na bado nasubiria ......
birthday imepita sasa na dhani itakuwa zawadi ya x-mass lol
we dont need to worry about 2015 ... sababu hazitakuwepo lol

Waswahili walisema subira yavuta heri,na mambo mazuri hayataki haraka.
 
itategemea na hali ya hewa.
miaka hiyo tukiwa na joto sana basi hazitavaliwa kabisa.na lkiwa baridi basi yatavaliwa mapensi na bukta kwa mbadala
 
Back
Top Bottom