Sijui niolewe na yupi kati ya hawa...

wako wapi?sijui kama unaweza kuhimili ndoa kama kujieleza tu hujui.
 
c kweli u cant be in love with 2 guys at the same time, naamini yupo umpendaye kwa dhati between those 2, mwingine utakuwa unaangalia features alizo nazo like physical appearance,income,position in society or his job and the like, then wafall in love na hizo features, but real love utakuwa wampenda m1 kati ya hao wawili nawe walifahamu hili fika, ila kinachokutatiza ni picha ya feature uipigayo na hao 2 lovers u have.uamuzi ni wako kuchoose better future 4 ur kids or kuchoose true love of ur life, and trust me usimake mistake ya kufall for material things utajajuta for the rest of ur life.future yatafutwa nanyi nyote, that is what i belive my self.so akili kichwani mwako kwani we ndo muolewaji na challenges za ndoa utazipata wewe sisi wengine ni third parties tu.

Uuuwiii mama weee..sio siri kuna mijitu jamii forum ina akili mweee!..ntaku PM Unishauri..i'have the same freak in love.
 
Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?

Mmh...., kama sijakuelewa vile, hao wawili ni yupi na nani? analyze the issue!
 
Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?

kwakua uko nao wote na unakiri yakuwa wanakupenda na wewe unawapenda, funga nao wote pingu za maisha iliupate kama ulivyo kuwa unapata awali usije punjika.
 
We kweli kilaza yaani hujui hata kama unawapenda au la ndo maani unatumia hisia,hutakiwi kuhisi kupenda ,likane neno nahisi nawapenda wote
 
Me upande wangu siwezi kumlaum kwa kusema kweli yake mambo kama hayo ni ya kawaida maaana huyu yeye kasema kweli lakini wapo wengi wenye wapenzi zaidi ya mmoja hata ww unayem,ponda huyu dada huna mpenzi mmoja so me nakushauri dada kumcgaua kati ya hao unaowapenda lakin usirudie kupoteza muda wa mtu kwani kila mmoja kati ya hao anamini ww ni wake peke yake wakati ww unajua wapo wawili so sitabia njema hata kidogo sababu hata ukiolewa ukizoea tabia hiyo utakuwa na mwanamme wa NjE YA nDOA
 
Mwaya chagua mwenye mkwanja mrefu ndio mme bora, sio mme wa kwenda kusaidiana maisha, ila kama wote wa mikwanja basi funga nao wote maana unakiri kwamba wanakupenda na wewe unawapenda
 
Kila giza kikizidi alfajiri inakaribia, we endelea kufatilia penzi kwenye usiku wa giza :biggrin:
 
Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?

kwanza how can you control two masters at a time???coming to the point,naamin japo unahisi unawapenda wote kuna mmoja kazidi,pia kuna vitu hao wanaume wanatofautiana hembu jaribu kuviainisha kwanza(strength na weakness zao) ukilinganisha na vigezo vya mwanaume ambaye ungependa awe mme wako,chagua mmoja.
 
Utakuwaje na wachumba wawili? Nafikiri una marafiki wawili kati ya hao unataka mmoja akuoe. Kama ni hivyo mwombe Mungu akuonyeshe kati ya hao wawili ni nani anafaa kuwa mume wako. Inawezekana kabisa jibu la Mungu likawa hakuna hata mmoja kati ya hao wawili maana wewe umechagua tu kwa tamaa zako za macho na kwa vigezo vya kibinadamu ambavyo vigezo hivyo vyaweza kuchagua boyfriend sio husband. Usijilazimishie kwenda ambako hata Mungu atakuwa amekuonyesha sio sahihi kwa kigezo tu anakupenda, mambo hayaendelei hivyo muda wote, ukishaingia ndani ya ndoa mambo yanaweza badilika. Si umeshuhudia wanawake wenye wanaume mamilionea wengine wana wanaume wenye hadhi na heshima kubwa hata za kuwa marais au wafalme lakini hawana amani; mali wala hadhi walio nayo haina thamani kwa wanawake hao wanatamani hata wakakae kwenye kibanda cha nyasi lakini kwenye Upendo, Amani, Furaha na kuthaminiwa? Usicheze na kitu kinachoitwa ndoa, tulia mpe Mungu nafasi ya kwanza ili akupe mume wako na sio mwanaume wako.
 
ivi wewe ukitokea umechumbiwa na wanaume wawili au watatu tukuite malaya pia hii sio wote wanaochumbiwa na mwanaume zaidi ya mmoja ni malaya jamani
 
what is adulhood and usefull?is it a clime for one to ask for an advice??????
 
what is adulhood and usefull?is it a clime for one to ask for an advice??????

ulichokosea lilies ni uliposema unawapenda wote!
lakini hivi siku hizi kuna mtu analeta posa nyumbani bila kuwa na mahusiano na binti!hebu tujuze?
 
Last edited by a moderator:
ivi wewe ukitokea umechumbiwa na wanaume wawili au watatu tukuite malaya pia hii sio wote wanaochumbiwa na mwanaume zaidi ya mmoja ni malaya jamani
Unawezaje kuchumbiwa na mwanaume zaidi ya mmoja?
 
Back
Top Bottom