Sijui niolewe na yupi kati ya hawa...

lillies

Member
Oct 2, 2012
47
16
Mimi nina wachumba wawili na wote wananipenda na mimi nahisi nawapenda wote,nishaulini wana jf,nifunge pingu za maisha na yupi kati ya hawa wawili?
 
Waulize kama watakubali mitala reverse, uwaoe wawili wote, maana si unawapenda wote sawasawa?

Kama inawezekana kwa mwanamme kuoa wake wawili kwa nini isiwezekane kwa mwanamke kuoa wanaume wawili?
 
Waulize kama watakubali mitala reverse, uwaoe wawili wote, maana si unawapenda wote sawasawa?

Kama inawezekana kwa mwanamme kuoa wake wawili kwa nini isiwezekane kwa mwanamke kuoa wanaume wawili?

Huyu ni mwanamke mkuu...mi naona kama vipi aolewe na wote, si kachumbiwa kotekote!
 
Huu kama si umalaya tukuite jina lipi zuri zaidi? wacha kucheza na feelings za binadamu mwenzako.

Unajua kuna wakati huwa napata shida sana kutoa ushauri, huwa nahisi kama kuna baadhi ya waleta thread wanafanya masikhara hivi
 
Hahahaaaaa! Nakushauri uolewe na MWENYE FUBA ZA KUTOSHA!!! LOL! Manake inaonesha wewe ni kama mimi, POCHI MBELE, ndo maana umediversify PORTIFOLIO yako! LOL! Sasa ili udumu kwenye ndoa lazima FUBA liumike sana, na utaendelea na mambo ya MAFIGA MATATU na VIDUMU huko ndo utapata furaha. By any chance kama huyo mmoja utakaemuacha ana FUBA la kutocha, niunganishe nae manake NARECRUIT MIZOMBIII, upyaaa uchumi umeyumba!!! LOL!!!
(DNT JUDGE ME!!! UJASIRIAMALI UMENISHINDA SASA NAJASIRIAMWILI MWANZO MWISHO! lol!) Nani Kanuna?
 
Kama unaishi Dar rahisi mmoja funga nae ndoa mkae Temeke, huyo wapili funga nae ndoa uishi nae KINONDONI, kwisha baki juhudi binafsi kuhudumia
 
Unajua kuna wakati huwa napata shida sana kutoa ushauri, huwa nahisi kama kuna baadhi ya waleta thread wanafanya masikhara hivi

kwa nini humuamini? Wanaume wengi sana wanakuwa.na wanawake kadhaa wakati wanajipanga kuoa. Na ukiona mtu ameenda kulipa mahari kule ujue kuna mahali either mdada yuko kwenye shock or else hajui kama keshaachwa. Wengi tu wadada boyfriends wao wanaenda kuoa na yeye anakuwa hajui. Kwa nini unadhani women cant do the same? What goes around comes around, hakuna kitu kibaya kama kuumiza moyo wako hadi upate ganzi. Na ganzi ya moyo wa mwanamke haiponi aisee!
 
Hahahaaaaa! Nakushauri uolewe na MWENYE FUBA ZA KUTOSHA!!! LOL! Manake inaonesha wewe ni kama mimi, POCHI MBELE, ndo maana umediversify PORTIFOLIO yako! LOL! Sasa ili udumu kwenye ndoa lazima FUBA liumike sana, na utaendelea na mambo ya MAFIGA MATATU na VIDUMU huko ndo utapata furaha. By any chance kama huyo mmoja utakaemuacha ana FUBA la kutocha, niunganishe nae manake NARECRUIT MIZOMBIII, upyaaa uchumi umeyumba!!! LOL!!!
(DNT JUDGE ME!!! UJASIRIAMALI UMENISHINDA SASA NAJASIRIAMWILI MWANZO MWISHO! lol!) Nani Kanuna?

hahahahahahah lara 1 umenifurahisha
 
Last edited by a moderator:
"Nawapenda wote"

sijajua moyo wako ni aina gani?
Hakuna moyo wenye nafasi za watu wawili labda ziwe tamaa tu!

Ulipo nishangaza zaidi nipale ulipo sema unaomba" ushauri kwa wana jf umuoe nani kati ya hawa", me nikadhani utawatolea ufafanuzi kidogo kila mmoja, lakini imekuwa kinyume.
Hapo ndipo nilipo amini your not serious
 
Back
Top Bottom