Sijui kwanini nampenda sana japo amenisaliti na kuniumiza mara nyingi

Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui kwanini hali hii hunitokea

Hongera kwa uvumilivu; but angalia maradhi ...
 
Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na
tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui kwanini hali hii hunitokea

Wewe sio wa kwanza kuwa na StOckholm syndrome
 
Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui kwanini hali hii hunitokea
hahahahaaaa....!!! inakutokea mara kwa mara? basi wampenda. mia
 
Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui kwanini hali hii hunitokea
"Huduma" anayotoa siyo ya kawaida.
 
Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui kwanini hali hii hunitokea

ameshagundua unampenda hivyo atakusumbua tena na matusi makali juu,we mwenyewe kwa hiari utamwacha. mia
 
kwa sababu unampenda,hujiamini na upo weak kwake.na yeye anajua hilo,na huko ku cheat hatoacha kwa sababu anajua utamsamehe tu

Hiyo huwa emotional abuse, na wanaume wanayo sana. Its difficult to get out lkn lazima ufanye hivyo au the damage kwa siku za baadaye itakuwa kubwa sana.
 
Back
Top Bottom