Golden Mpoleeee
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 572
- 206
- Thread starter
- #41
tunakupenda mdogo wetu... unconditionallynisaidien mawazo. Nifanye nn nipendwe?
GM
Source ???
Please acknowledge hiyo
tunakupenda mdogo wetu... unconditionally
Olewa!
tunakupenda mdogo wetu... unconditionally
Lol! Hiyo "TUnakupenda..." Unamuwakilisha na nani?
Usijali, mi naamini utapendwa kabla mwaka hujakwisha!
Lol! Hiyo "TUnakupenda..." Unamuwakilisha na nani?
......Unapenda keki?.......Unapenda dhahabu au almasi?.........Unapenda maua?.......Unapenda chokleti?.......Unapenda kuimbiwa?.......Unapenda kutomaswa?......Unapenda kubusiwa?
cna wa kunioa.
kama una hela hata kidogo
jipeleke sehemu nzuri
kulingana na hela yako