Somoe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 754
- 282
Mie nimepata shetani wa kuolewa ghafla baada ya kuishi mda mrefu bila mwanamme wala mpenzi. Kitu ambacho kilinifanya nishi peke yangu nilikuwa naogopa ukimwi. Na vile vile nilikuwa naogopa ugomvi kwaiyo nilikuwa nahofia mwanamme ataanza kunidanganya na kunikera mambo flani, alafu itakuwa ugomvi. Mama angu akinisema na kulalamika kwanini siolewi ikiwa vijana wengi wakijitokeza. Na marafiki wakinisema mie mjinga nazikataa bahati. Wasemayo mie sikuyajari.
Sasa mwaka 2007 nilikutana na vijana 3 ktk chat nilio wapenda. Ila mmoja kati yao nilimpenda zaidi, maongezi yake yalikuwa yananipa amani. Nilijiskia huyu ndie atakae nifaa, kuzaa nae, kuolewa nae na kuishi nae, ila sikumwambia kama nampenda,, nilikaa kimya. Yote ilikuwa siri yangu.
Mie na yule jamaa tulikuwa tunawasiliana vizuri na tunaongea mengi juu ya familia zetu, marafiki zetu, shule na maisha kiujumla kukiongea. Na tulikuwa tunaheshimiana kiasi cha kwamba tulikuwa hatuongei juu ya mapenzi.
Niliambiwa mengi vingine hata sikustairi kuvijua, nikajiuliza kwanini ananiamini kuniambia yote kuhusu yeye wakati hanijui,,,
Baada ya miaka 2 kupita, mwaka 2009 akanibadilikia, akawa mkali kama pilipili, hatuelewani, mie sababu hata sikuijua, yaani alikuwa na masira. Nikamuomba anieleze kilichomtokea, mwisho akaniambia alikuwa na mawasiliano na mwanamke na hivi sasa kampotea hata akimpigia simu hapokei, na akimuandikia email hajibu. Mie nikamuliza unampenda, akajibu ndio tena kwa maasira. Mie nikakaa kimya na nikaamua kumtafutia huyo binti kwa vile kaniambia haishi mbali nami ingawa simjui. Ili yeye alidhike na ugomvi kati yetu uishe. Kwa bahati mbaya huyo binti sikumpata, ila niliskia story zake ambazo yeye sikumwambia maana angeniona mie muongo kwa vile yeye mwenyewe kampenda.
Nikaachana nae, kumbe yeye anapenda mwingine badala yangu. Baada ya miezi 3 moyo wangu ukaniuma, nikamsalimia. Akalalamika kusema hamna mtu yeyote anae mkumbuka, hata wazazi wake wamemtupa, hivi hana mtu,, mie nikajiwa na uruma nikajiona ni mtu mbaya. Hapo nikajikuta namwambia kabisa kama nampenda na namkumbuka na nitakuwa nae daima. Ila ilibidi nijue juu ya yule dada, akaniambia uhusiano wao wote ulivo kuwa. Yakaisha.
Mwisho tukamua tukutane, na tuoane. Tulipo kutana, akataka tuoane haraka haraka, akasema anaona kama hatanikosa, na hivi aamini kama itakuwa kweli. Na akasema alikuwa anataka mwanamke kama mimi, na aliponiona hakuamini macho yake. Na anaona kama ndoto, na kama mungu alisikia kilio chake.
Sasa swali langu limebaki je akikutana na yule binti chizi ktk chat aliesema anampenda, itakuwaje? Sababu kuna siku moja namnyoja mume wangu ***CENSORED*** yake, akaniambia aliaidiwa na yule binti ktk chat kumyonya nyonya ***CENSORED*** , na mpaka ***CENSORED***. Basi mie nachanganyikiwa anaponiambia juu ya huyo binti. Na utokea ghafla ana naniambia hivo nilivomfanyia aliaidiwa na hata na yule binti wa ktk chat. Mie sasa nikaanza kuwa mkali, sababu ya wivu, lakini sasa naona kama namuonea. Yaani hata sijui nifanyeje?
Maana nimeangalia simu yake hamna mwanamke, nimeangalia facebook hamna, na yeye hana wasiwasi kabisa, ananiachia na ananiambia yote. Na tulivo enda kwa wazazi wake nikamwambia anioneshe hao wasichana ambao akifanya nao mapenzi, akanionesha. Na akaniambia mpaka wakivo fanya, nilipo muuliza.
Kuna siku moja nikalalamika eti alikuwa nami ktk chat na vile vile na mwengine na alificha, ila alipo mkimbia ndo mie akaniambia. Akasema yeye hana tamaa ya wanawake, ila mimi tu na wasiwasi. Hilo ni kweli ila mengine alizidisha maana alikuwa ananipenda na aliona kama nampenda pia, ila muda aliona unapita, ndio maana akaanza visa vya kuninasa mie mtegoni mwake.
Na ananiambia mengine aliokuwa anasema ni kunipa mie wivu tu. Sasa sijui niamini?
Hapa naitaji mjuzi ili anielekeze vizuri maisha ya ndoa, maana mie nimejingiza tu, na sasa najikuta nawivu sana, hadi mwenyewe naumia, ingawa simbwambi. Mie nitashukuru sana mukinielewesha......