Sijawahi ona Upendo kama huu by Ambwene Mwasongwe

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
Wadau wa mziki wa Injili nadhani mmeshawai kuusikia Wimbo wa kijana na Mtumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe ujulikanayo kama "Upendo".

Ama hakika ni wimbo mtamu sana kuusikiliza,Ambwene kajitahadi na anahitaji pongezi.Wimbo wake unagusa hisia za mtu yeyote hata kama sio wa madhehebu ya Kikristo.

Kwa kuonyesha ni namna gani wimbo huu ni bora,nasikia Barnaba na Vijana wanzake wa THT (Ruge FC :D),waliamua kuurudia na kuuimba ktk mahadhi ya Ki-secular.

Nimeonelea sio vibaya ku-share nanyi ujumbe wa Upendo toka ktk wimbo huu.

tazama video :https://www.youtube.com/watch?v=soc4GCEAM7g&feature=youtube_gdata_player

As for our nothern brothers ( lawmaina78 , NairobiWalker Dhuks Et al),i know you love Gospel Music,and you've been listening to a lot of Gospel Tracks from Tanzanian Artists.Here is Ambwene Mwasongwe,one among many of Talented Singers from Tanzania, well known for his singing identity of Worship Songs.
karibuni na mbarikiwe ktk "Upendo wa Kweli".

CC Karucee ELISSA na wadau wote.
 
Last edited by a moderator:
Naupenda sana huu wimbo....Naweza usikiliza hata mara 20 bila kuchoks..

acha tu kijana ni mkali ktk utunzi.wimbo wake unaleta hisia kali sana za upendo wa dhati na wa kweli.nimetoka kusikiliza na hakika nimebarikiwa.
 
kwa ufupi hii albumu yake yote inaitwa misuli ya imani ukisikiliza utapata kitu kiroho na kimwili,mimi nilikuwa somewhere siku moja ni mwaka jana nikausikia huo wimbo nikauliza wimbo gani yule jamaa akanambia kesho yake nilikimbia haraka mjini kwenda kutafuta ile album ya misuli ya iman na kwa kweli nabarikiwa sana na hakuna wimbo ambao haunigusi kwa kweli kijana kaimba sana naomba mungu aendelee kumtumia mtumishi huyu.
 
Nyimbo zake hakika zinabariki haswaaa!! Huwa haipiti siku pasipo kusijiliza walau nyimbo mbili kutoka albamu ya Musuli ya Imani!! Ubarikiwe sana kijana, hakika anaitendea haki talanta aliyo pewa na mwenyezi Mungu..
 
Wadau wa mziki wa Injili nadhani mmeshawai kuusikia Wimbo wa kijana na Mtumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe ujulikanayo kama "Upendo".

Ama hakika ni wimbo mtamu sana kuusikiliza,Ambwene kajitahadi na anahitaji pongezi.Wimbo wake unagusa hisia za mtu yeyote hata kama sio wa madhehebu ya Kikristo.

Kwa kuonyesha ni namna gani wimbo huu ni bora,nasikia Barnaba na Vijana wanzake wa THT (Ruge FC :D),waliamua kuurudia na kuuimba ktk mahadhi ya Ki-secular.

Nimeonelea sio vibaya ku-share nanyi ujumbe wa Upendo toka ktk wimbo huu.

tazama video :https://www.youtube.com/watch?v=soc4GCEAM7g&feature=youtube_gdata_player

As for our nothern brothers ( lawmaina78 , NairobiWalker Dhuks Et al),i know you love Gospel Music,and you've been listening to a lot of Gospel Tracks from Tanzanian Artists.Here is Ambwene Mwasongwe,one among many of Talented Singers from Tanzania, well known for his singing identity of Worship Songs.
karibuni na mbarikiwe ktk "Upendo wa Kweli".

CC Karucee ELISSA na wadau wote.
Nimeupenda sana, nyimbo za injili toka Bongo huwa bomba kweli. Juzi nimetulia natizama nyimbo kwenye runinga halafu ghafla wakamleta Munishi, duh walinikumbusha mbali sana, maana jamaa nilimpenda tangu nikiwa mtoto.
 
Wadau wa mziki wa Injili nadhani mmeshawai kuusikia Wimbo wa kijana na Mtumishi wa Mungu Ambwene Mwasongwe ujulikanayo kama "Upendo".

Ama hakika ni wimbo mtamu sana kuusikiliza,Ambwene kajitahadi na anahitaji pongezi.Wimbo wake unagusa hisia za mtu yeyote hata kama sio wa madhehebu ya Kikristo.

Kwa kuonyesha ni namna gani wimbo huu ni bora,nasikia Barnaba na Vijana wanzake wa THT (Ruge FC :D),waliamua kuurudia na kuuimba ktk mahadhi ya Ki-secular.

Nimeonelea sio vibaya ku-share nanyi ujumbe wa Upendo toka ktk wimbo huu.

tazama video :https://www.youtube.com/watch?v=soc4GCEAM7g&feature=youtube_gdata_player

As for our nothern brothers ( lawmaina78 , NairobiWalker Dhuks Et al),i know you love Gospel Music,and you've been listening to a lot of Gospel Tracks from Tanzanian Artists.Here is Ambwene Mwasongwe,one among many of Talented Singers from Tanzania, well known for his singing identity of Worship Songs.
karibuni na mbarikiwe ktk "Upendo wa Kweli".

CC Karucee ELISSA na wadau wote.

mi mwenyew nimenunua jana dah, hii nyimbo ya upendo wa kweli umenigusa sana nilipenda sana scene ya kanisani ya yule dada na mpenz wake wakitoa ushuhuda dah kwa kweli inaliza sana pale yule mama alipokuwa akimwambia kijana amuache binti yake kwa kuwa ni kichaa ila jamaa alikataaa na kusema kuwa kampenda hivyo hivyo, dah pale mwisho nilishindwa vumilia choz likanitoka, kweli ambwene ni noma sana nimependa nyimbo inabarik sana
 
Last edited by a moderator:
"Ila upendo una kipimo chake wakati wa shida, karaha na wakati wa magonjwa......

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Yani huyu jamaa kanifanya ninunue album yake hii mpya.Yani huo wimbo wake wa "Tulikotoka" unanitoa chozi kila nisikilizapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom