Sijapenda Kikwete kupiga picha na Al Bashir wa Sudan kwa furaha wakati Bashir anawaua weusi Darfur!

Sister, bado nakubaliana na wewe kwamba kuna mauaji ya kutisha Sudan, fine but siungi mkono mauaji.....ukifika eneo la tukio ndio utaujua ukweli, huyo Ahmed Hussein Al Bashir mwenyewe yuko nchini kwake kwa sababu ya "East or West Home is Best" vinginevyo angeshakimbia. Ila mimi nina mtazamom tofauti kidogo...Vita ni vita, huwa havichagui kwamba wewe ni MTOTO, MZEE, MWANAMKE, KIJANA, WHATEVER THE CASE but war is war!
 
Mpitagwa bana...huwa una mawazo pevu.mimi huwa ni mfuatiliaji (persuader) mzuri wa mambo, kwa hapa umefikiria vyema.
 
Abou, sisi hapa Bondeni tunasema Akunzima Bethuna (Life is so Hard), huenda ni ugumu tu wa maisha yake binafsi.
 
Back
Top Bottom