Sijaona sababu ya Wakili Mwambuksi kukamatwa majira ya saa nane usiku kwa kuviziwa

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Wakili Mwambuksi amekamatwa majira ya saa nane usiku huko mikumi mkoani morogoro kilichonishangaza je wakili huo hadi anakamatwa majira hayo aliitwa na jeshi la polisi akakataa wito? Au wameona ni bora wamkamate kwa kumvizia lengo lao nini hadi wanafanya hivo .

Nitoe rai kwa jeshi la polisi pamoja na majukumu makubwa mliyonayo ya kulinda raia na mali zao ukamataji mliofanya kwa wakili huo hamkuwa na sababu za msingi kufanya hivo kwani wakili huyo hajakataa wito wa polisi na pia kumbukeni ana kesi na AG kwenye kamati ya maadili, wakili huyo alisgawaambia yeye hawezi kimbia nchi yake na hamwogopi yeyote kwenye haki anayoisimamia

Polisi acheni tabia yavkukamata watu wenye anwani kwa kuwavizia pindi watakapoanza kupotea mtajitia doa wenyewe na kuichafua serikali.
 
Wakili mwambuksi amekamatwa majira ya saa nane usiku huko mikumi mkoani morogoro kilichonishangaza je wakili huo hadi anakamatwa majira hayo aliitwa na jeshi la polisi akakataa wito ? au wameona ni bora wamkamate kwa kumvizia lengo lao nini hadi wanafanya hivo .

Nitoe rai kwa jeshi la polisi pamoja na majukumu makubwa mliyonayo ya kulinda raia na mali zao ukamataji mliofanya kwa wakili huo hamkuwa na sababu za msingi kufanya hivo kwani wakili huyo hajakataa wito wa polisi na pia kumbukeni ana kesi na AG kwenye kamati ya maadili, wakili huyo alisgawaambia yeye hawezi kimbia nchi yake na hamwogopi yeyote kwenye haki anayoisimamia

Polisi acheni tabia yavkukamata watu wenye anwani kwa kuwavizia pindi watakapoanza kupotea mtajitia doa wenyewe na kuichafua serikali.
unakamata mtu anayejulikana saa nane usiku hii hatari
FB_IMG_1691865361636.jpg
 
Wakili Mwambuksi amekamatwa majira ya saa nane usiku huko mikumi mkoani morogoro kilichonishangaza je wakili huo hadi anakamatwa majira hayo aliitwa na jeshi la polisi akakataa wito? Au wameona ni bora wamkamate kwa kumvizia lengo lao nini hadi wanafanya hivo .

Nitoe rai kwa jeshi la polisi pamoja na majukumu makubwa mliyonayo ya kulinda raia na mali zao ukamataji mliofanya kwa wakili huo hamkuwa na sababu za msingi kufanya hivo kwani wakili huyo hajakataa wito wa polisi na pia kumbukeni ana kesi na AG kwenye kamati ya maadili, wakili huyo alisgawaambia yeye hawezi kimbia nchi yake na hamwogopi yeyote kwenye haki anayoisimamia

Polisi acheni tabia yavkukamata watu wenye anwani kwa kuwavizia pindi watakapoanza kupotea mtajitia doa wenyewe na kuichafua serikali.
Na yeye anasafiri usiku wote huo alikuwa anakimbia nini?
 
VIongozi wanadeka mno.

Vyombo vya dola vinadekeza tabia mbovu za viongozi
 
Naunga mkono hoja, tena wakili ni ofisa wa Mahakama, hawezi kukamatwa kwa kuviziwa as if ni mhalifu kibaka!.
TLS lazima watoe statement kulaani uhuni huu wa jeshi la polisi.
P
 
Mwisho wa kusafiri ni saa ngapi? Unajua kama "freedom of movement" ni haki ya kikatiba kwa kila mtanzania?

Kwakua huko kwenu Kasulu mnalala saa kumi na mbili jioni, unadhani dunia nzima inatakiwa kua hivyo?

Sasa kama yeye ana uhuru wa kusafiri muda wowote, unafikiri Polisi hawana uhuru wa kufanya kazi muda wowote? Pumbavu!!!
 
Back
Top Bottom