Sijaoga siku mbili...

Naulizia post yako iko wapi a a a kumbe iko juu pale mbona haina maana ngonja nisepe sirudi tena
 
Ndio maana posts zako zilikuwa zinanuka kikwapa.

nope.
Nina kwapa la ukweli sana, linajua kuficha siri ajabu.
Tatizo ni kuwa unapokuwa kwenye kompyuta unakuwa umeinama, afu unajikuta umejinusa mwenyewe.
Then yaliyojiri yanajiri. Nadhani umenielewa...
 
Naulizia post yako iko wapi a a a kumbe iko juu pale mbona haina maana ngonja nisepe sirudi tena

nenda mwalimu.
Nashukuru kwa mchango wako... Si unajua hata Kinyesi wakati mwingine ni mbolea?
 
Back
Top Bottom