Sijahesabiwa

Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,100
5,649
Jana asubuhi sikwenda kazini, nikafika kwenye ofisi za afisa mtendaji wa kata kutoa taarifa kwamba Mimi na Familia yangu hatujahesabiwa, nikawaelekeza ninapoishi na wakaniambia kabla jua halijazama ntakuwa nimeishahesabiwa, mpaka sasa napoweka taarifa hii hapa bado sijahesabiwa. wana JF wangapi hawajahesabiwa mpaka sasa.

What political implication does this inefficiency portray?
 
Sensa hii ni kama tiba ya mganga wa kienyeji akiona mgonjwa haapona anaanzisha blah blah.

Nimeona mapungufu mengi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom