Sijahesabiwa Bado na Deadline Inakaribia

hivi kwa nini huyu JK ni failure kwa kila kitu? hivi inakuwaje mimi mpaka dakika hii sijahesabiwa? au Chadema hatuhesabiwi?
binafsi sijawaona hawa wanaohesabu na siku zimeisha sasa-nitaingia kwenye group la "estimation"
 
aisee hata mie sijahesabiwa wala sijishughulishi kuwatafuta wamelipwa ajili ya kazi ya kutuhesabu nashangaa walipita mara moja tu huku kwetu af gggg sijawasikia tena na nawajua ukienda ofs za serikali za mtaa watataka buku mbili walaa siendi
 
Back
Top Bottom