TANZANIA LEO
Member
- Jun 21, 2013
- 91
- 10
Si kila mwenye macho anaona na si kila mwenye masikio anasikia. watu wengine ni colour blind anaweza sema chungwa lina rangi ya blue. sikushangai.
Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda CHADEMA kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.
1. CHADEMA imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.
Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.
Mfano ni pale CHADEMA inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.
2. CHADEMA kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.
Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.
3. CHADEMA kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c
4. Kitendo kiovu kinachofanywa na CHADEMA kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za CHADEMA ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake CHADEMA imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha CCM kutekeleza sera za CHADEMA.
5. CHADEMA imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.
Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
nimeongeza na siku za kuishi baada ya kuusoma uzi huu...
big up sana mleta uzi.ila swali langu la kizushi kwako ni kwamba hivi umeona hata watoto wa baba mmoja wanavyojichanganya? wamezoee kukariri,1+1 = 2 ukiwabadilishia tu umewatoa kwenye mstari.kabla hatufafikiri kuikomboa tanzania na mali zake ni lazima akili na mawazo yetu yajikite kuzikomboa fikra zao kwanza
KAZI KWELI KWELI
Wapo baadhi ya watu
wanaonitumia meseji na hata wengine kudiriki kunipigia simu wakiniambia
kuwa eti thread zangu na post zangu humu JF zinaonyesha kuwa naipenda
chadema.
Tangu Enzi Kikao cha kwanza
cha kuanzisha kitu chochote kinaanza kama familia mfaano akina Rupia,
Sykes, Mtemvu mpaka leo watoto wao ni viongozi wa kisiasa maji hufuata
mkondo
meneno haya umeyasema tangu 2011 matokeo yake kanda kumi
zimezaliwawewe ukiwa ukiimba melody iliyobuma mimba kama inakusumbua
kula pilipili
Ndivyo ulivotaka ufanye ukiwa bavicha lakini wakulegezea mtindi
ukaanguka matokeo yake unarudia maneno uliyosema mara 10,000
Mwigulu boyfriend wako kathibitishiwa na mahakama kwamba tindikali
inamwagwa na wana CCM,
Ukiwa mfuasi wa mwenyekiti wa chama chako zungu la unga,katibu wako mkuu
jangiri la meno ya tembo naibu katibu mkuu mrusha mabomu ya kichina na
wewe mchawi wa kisiasa inakuwa hoya
Ramadhani Inghondu mnyofoa kucha za watu na mchomoa meno yupo IKULU
Kolimba amekolibwa na MACCM ndio mchezo wao Malima kanyamazishwa
Nyerere mwenyewe kafanyiziwa na MACCM
Kama unavyozurura na mume wa mtu mpaka kakutungika mimba
wewe ni makapi
Narudia tena SIIPENDI CHADEMA na sitakuja kuipenda CHADEMA kama haitajirekebisha.
Nasema hivyo kutokana na sababu zifuatazo.
1. CHADEMA imekua inaongoza nchi kinyume na taratibu. Tunajua kwamba kwenye uchaguzi mkuu uliopita CCM "ilishinda" uchaguzi huo na kua na "haki" ya kuongoza serikali na vyombo vyote vya usalama.
Lakini kwa masikitiko makubwa CHADEMA wamejitwalia jukumu hilo bila kufuata sheria na taratibu za nchi hii.
Mfano ni pale CHADEMA inapotumia polisi kuwadhuru wananchi na kuwapiga mabomu wananchi kwa kutumia polisi.
2. CHADEMA kutumia mabavu kuliongoza BUNGE ambapo kisheria ilibidi bunge liongozwe na CCM yenye wabunge wengi, speaker,naibu speaker na wenyeviti wa bunge kutoka CCM.
Hii inajidhihirisha pale ambapo CHADEMA wamekua kimbelembele kutetea maslahi ya wananchi wakati hii kazi ilibidi ifanywe na CCM yenye wabunge wengi+serikali. Huu ni uporaji wa haki ya msingi unaofanywa na chadema kwa wabunge wa ccm.
3. CHADEMA kwa makusudi kabisa imekua ikiwachonganisha wananchi na serikali yao tukufu ya CCM.
Kitendo cha chadema kufichua maovu ya CCM na kuyaweka wazi kwa wananchi ni uchonganishi mkubwa na unawafanya wananchi kutoipenda serikali yao "halali" iliyopo madarakani.
Mfano mzuri ni list of shame, KAGODA, MEREMETA, DEEP GREEN e.t.c
4. Kitendo kiovu kinachofanywa na CHADEMA kuilazimisha CCM kuacha sera zake na kutekeleza sera mbaya za CHADEMA ni kitendo ambacho hakivumiliki na kinafaa kupingwa na wananchi wote. Wanancchi tumekiamini chama chetu tukufu ccm na tukakipa "kula" za kutosha ili kiingie madarakani na kutekeleza sera zake ilizokua inazinadi majukwaani. Matokeo yake CHADEMA imefanya hila na michezo michafu ya kisiasa na kuilazimisha CCM kutekeleza sera za CHADEMA.
5. CHADEMA imeiweka nchi rehani kwa kulazimisha USALAMA WA TAIFA kuripoti kwake badala ya kuripoti kwa serikali tukufu ya CCM.
Huu ni uhaini na wapenda haki wote inabidi tupaze sauti kukemea hili suala.
Haiwezekani wanausalama watiifu wafanye mauaji yanayofuata sheria halafu wale wanausalama wasiofuata maadili wakapeleka taarifa chadema. Hii sio sawa kabisa, kunaiweka nchi yetu kwenye hatari kubwa sana.
Naomba niishie hapa ila natoa rai kwa watu wote wenye uzalendo na nchi hii kuipiga vita CHADEMA kwa nguvu zote.
Acha kujikosha hakuna mtu ana shida na mamuluki, mzandiki na panya kama wewe, baki huko huko kwenye ukoo wenu wa panya !