hamna lolooote!
Labda kama ana mpango wa kulea watoto yatima. Lakini kama ana mpango wa kuzaa na waume zetu that is more than selfishness. Kwanza anawapa watotowake label mbaya katika jamii pili anaharibu nyumba za watu ambao wana imani na ndoa.
nitazaa na boydfr wangu, nanimeshamueleza kama anapenda kuoa atafute mchumba aoe mimi anipe
watoto tuu asepe, sitamtenga na watoto wake ila kuishi nae ndio mwiko
Unajuwa kwanini Mola aliweka ndowa? Ni kwasababu binaadamu awe tofauti na mnyama.
1.Hamu yake isiwe kama ya mnyama ya kuchupia alie karibu nae tu au kupanga foleni kutimiza hamu ya mwili
2. Kuwe na mpangilio mzuri wa kizazi chenye kuelewana na siyo kuzaa bila ya kujuwa damu ya nani.
3. Tuwe na vigezo vya kukubaliana kufanya uhusiano wa Kibinaadamu (kumbuka kuwa tumeppangiwa ndowa ili iwe njia ya kibinaadamu)
Mwisho, ni kuwa si lazima kuowa au kuolewa lakini ulazima wa kuheshimu mpango uliowekwa na mola. Hutaki kuolewa basi ipige maji ya moto tu wala huna makosa.
wanaume tumejaa tele ni ww tu labda hujui kutanua mabawa kama ndege tausi ili kutuvutia
jitahidi mama kuzaa na kulea bila baba sio kazi rahisi kama unavodhani
toa dhana yako potofu na omba sana pepo la kukataliwa likutoke
Waache hawajajua ni kiasi gani kwa yule mtoto anaathirika kwa kukosa upendo wa baba
Uwe na lafudhi nzr ndg yng,wanaopata c kwa ujanja wao na wanaokosa c kwa ujinga wao,mungu humpa amtakae kwa muda autakao,control your toungue plz!
Sidhani kama single parent ni mbaya, inaweza kuwa ni nzuri zaidi kuliko familia ya baba na mama ambao walishaachana siku nyingi mioyoni mwao wanaishi tuuu! mama ambae ni mhimili muhimu kwenye familia yuko depressd 24/7! hana raha ya ndoa yupo tu !
unakuwa na network nzuri mfano weekend mtt anashinda kwa uncle wake kupata male figure in his/her life. Or kama umezaa na mtu ambaye hamjaoana anaspend t nayew
miafrika ndivyo tulivyo,umekosa jina lingie hadi ukaona uumie jina la huyu dada bora ungetumia la wadada wa nch za kimangaribi.sifa za kijinga na kuaribiana
Eti mwanamke katika wanawake, yani kuzaa ndo kunakufanya uwe mwanamke? Je ungekuwa huna uwezo wa kuzaa usingekuwa mwanamke? Wewe ni mgonjwa, seek psychological advice my friend before its too late for you. Im sure that you think you are okay but for real you are not in the right stand my dear.
ni tatizo da latifa! nyumba bila baba .. watoto lazima watakuwa na walakini either ma kimaadili au etcl.... Ndoa inaketa kheri katika mapenzi ya watu wawili.. omba mungu upate a gentleman .. achana na vi boy friends ...
good luck
aliyesema huyo mtoto hatamjua baba yake nani? Baba yake yupo naanamtunza tokea tumboni na anampenda na anamtamani rpanahivi hujakaa ujiulize ni kwanini watoto wakishajitambua huwa wanauliza baba yangu yupo wapi? hivi unafikiri wanakuwa wamekosa vitu ambavyo ni material things halafu huyo mtoto unamjengea dhana ipi pindi atakapotambua mama yangu hakutaka kukaa na baba alitakaa mtoto basi atakuchukuliaje hasa mtoto wa kike unamjengea mazingira gani? ndo kwanza unayetumboni tuulize sisi tuliokwisha watoa nje watoto wanahitaji upendo wa mama na baba labda itokee bahati mbaya baba kafariki au katoroka familia usipende kumlea mtoto katika mazingira kama ya wanyama hamjui hata babaye ni yupi
miafrika ndivyo tulivyo,umekosa jina lingie hadi ukaona uumie jina la huyu dada bora ungetumia la wadada wa nch za kimangaribi.sifa za kijinga na kuaribiana
ni tatizo da latifa! nyumba bila baba .. watoto lazima watakuwa na walakini either ma kimaadili au etcl.... Ndoa inaketa kheri katika mapenzi ya watu wawili.. omba mungu upate a gentleman .. achana na vi boy friends ...
good luck
hivi ni ndoa ngapi zinavunjika kila siku hasa hizi za dgni yetu? Rafiki yangu alifunga ndoa ndani ya mwaka kapewa talaka akiwa na mimba ya miezi 7 , hiyo ndoa ilimsaidia nini sanasana imemchafulia jina,It true bby anahitaji psychological tretment,mpz mm ni mcchana mwenzk naitaji nikusaidie ilo tatizo,kisaikolojia tu na cvinginevo it bcz ni profesional yng,km upo tyr ni pm,lkn kumbuka umesema umelelewa ktk dini je kwa imani yk unaruhusiwa kuzaa bila ndoa?na ulisema jamîi na wazazi wanamtazamo hac kwk kwa kuchelewa kuolewa je kuza bila ndoa hudhani kama utaendeleza mtazamo wao kwako?hivi kwa nn mnapenda kuwahucsha watoto wasio na hatia ktk matatizo yenu binafc?km hutaki ndoa na uczae,unajua kwa imani ya dn yk ukiza bila ndoa unamkosesha mtoto haki yk ya kurithi hata kama baba yk akiwa na mali,na huoni unazalisha dhambi nyengine ya uzinifu na kuchkua waume za watu,je hayo umeyafikiria kwa makini km kweli umelelewa ktk mcng ya dini?yn roho inaniuma kwakua muiclamu mwnzng,km umeteleza ukazini nakupata hiyo mimba bc unayo nafac madhali bado unapumzi mungu mwingi wa kusamehe,kumbuka mungu amekuleta duniani na amekupangia utaratibu malum wa kuishi na ucishi kwa matashi ya nafc yk yako,kuna kifo kumbuka kuna ck ya hesabu na malipo na watoto watakushtakia kwa mungu latifa,kuna watoto wamefiwa na baba zao wakiwa wp 2mboni kwa mama zao wanataman wangepata malezi ya baba ww unadiriki kuwapangia mbinu za kuwakosesha watoto haki zao kwa kusudi latifa,mtume wetu aliona wanawake wengi motoni alipokua miraji tujichunge mungu atuepushe tucwe wamoja wapo.kubali uyo mwanaume latifa akuoe unayo nafac ya kutubu mpz.
Inategemea kama unaamini kuwa kuna kitu kinaitwa dini.
Nasema hivyo kwa kuwa nilikuwa na class mates watano wanatokea Malaysia walikuwa wanasomeshwa masters an nchi yao. Wote ni mabosi huko kwao, ila walikuwa wote ni single. Walikuwa wanaonekana wadogo ila walikuwa na more than 30 mmoja alinambia ana 35. Walikuwa hawajaolewa. Katika kundi lao ambalo walikuwa kama 15 wanasomeshwa na serikali yao kulikuwa na wanaume; wote wameoa na walikuwa wamekuja na wake zao huko masomoni. Walikuwa rafiki zangu sana nilikuwa nawauliza sasa nyinyi hamjaolewa hamtaki watoto; wakanambia si kuwa hatupendi kuolewa ila kwetu ukiwa msomi na chance ya kuolewa inapungua. Ni kweli wale wanaume wa Ki Malaysia wake zao walikuwa hawajenda shule kihivyo; ni housewives.
Walichonifurahisha wale wadada ni kuwa walinambia NK wote tuna mpango wa kulea watoto yatima kwa sababu sheria ya Kiislamu hairuhusu kuzaa nje ya ndoa.
Ndio maana nikasema inategemea kama una dini na unaishika kweli.
Maana siku hizi naona hata Obama karuhusu ndoa za jinsia moja. Dunia inaelekea kusiko.
nawale wanaotoa mimba za kila siku kisa hawajafunga ndoa ndio mnaowafagilia?Yn we acha 2 kaka imani ya kweli ni nguzo lau km ata3ckiliza atafanikiwa,na ackwambie m2 binadam tumeumbwa kwa kutegemeana hp furaha yk c dhani km itakua imekamilika bl ataongeza matatizo,uwepo wa jincia tofauti ni muhim Mungu alipo umba jinca tofauti anamaana yk?