Sifurahii kifo,lakini kwa hili channel ten ni funzo kwenu,kaeni chini mtafakali

Tukiwa kwenye majonzi juu ya mwenzetu aliyetolewa uhai na waporaji wa pumzi,ambao sisiti kuwaita watekaji wa demokrasia watumiwao na kundi la watu wachacha wenye kujiharalishia madaraka kwa nguvu ya mtutu,mtutu ambao umenunuliwa kwa kodi ya sisi walala hoi,naonana ni vema nirudi kwa upande wa Channel Ten.
Nimekua nikifatilia taarifa zao za hivi karibuni wanaonekana hawako kiuhalisia hasa pale linapokuja swala la uozo wa serikari.Mfano ni ile habari juu ya kifo cha Ally kilichosababishwa na Poris mjin Morogoro,walionekana kutoa taarifa kwa kuipendelea polis na kuikandamiza chadema,lakn siku si nyingi poris wamepiga hodi kwao tena hod ya kishindo.Mim sisiti kuwaambia na kuwashauri,wakae chini watafakari,kama kuna hongo walipokea kutoka CCM ili wawe wanapotosha kweli na kua ongo basi ni wakati wao hata hili la iringa wapotoshe,kama wamekua wakifanya vile kwa sababu ya woga bas wanapaswa waamke sasa nakuchukua hatua kwa vitendo.binafs simjui mmiliki wa channel 10 lakin kama ni kigogo wa CCM nawashaur ndugu zetu wanaofanya kazi huko kuwa maisha ni popote,wakati wao umefika wakimbie mapema.narudia tena sifurahii kifo,ila kwa hili mnapaswa kukaa upya na kutafakari

Hii nchi maji yameshamwagika na kamwe hayatazoleka tena hata kama watatumia mabomu na itawagharimu sana. Wangekuwa wanashughulikia mafisadi kama hivi ingekuwa safi sana lakini kwa hivi watachemsha wasifikiri enzi za Mrema hizi
 
Maoni ya waandishi wa habari jinsi mlolongo wa operesheni za POLISI kudhibiti vyama vya siasa inavyowageuka :


source: tangibovu wa youtube
 
Last edited by a moderator:
Hii nchi maji yameshamwagika na kamwe hayatazoleka tena hata kama watatumia mabomu na itawagharimu sana. Wangekuwa wanashughulikia mafisadi kama hivi ingekuwa safi sana lakini kwa hivi watachemsha wasifikiri enzi za Mrema hizi

wanakuja na kanuni zao zilizopitwa na wakati,kamwe hawataweza kutunyamanzisha wala kutupoza kwa kuvihonga vituo vya habari kama clous,channel 10,na wengine ikiwemo Tbc
 
Back
Top Bottom