Sifa za walimu wapya 2014!

Makuku Rey

JF-Expert Member
Dec 31, 2013
3,387
3,575
Zifuatazo ni sifa za mwalimu mpya 2014;

1.hana kitanda.

2.anatandika chini

3.ana sufuria mbili

4.anatumia kuni au mkaa kidogo kupikia

5. Hana meza 6.

Hana viti.

7.ni mzigo kwa walimu wenyeji kwani hajitoshelez kwa mahtaji

8. Anapga simu sana kwa ndgu na jamaa kuwalilia ya kuwa amepangwa kijijini, hajui kuwa vita huanzia msituni na kuishia mjini

9.muda mwing huwapgia wenzie na kuwaulza wamepangwa wap? EE MWENYEZ MUNGU WASAIDIE WALIMU HAWA,WALIOSAHAULIKA GHAFLA KWA KUPEWA PESA NUSU YA KUJIKIMU. AMEEN
 
Haya kaka, mie sina hata hiyo sufuria, na unasema hana kitanda anatandika chini, ni kitu gani anatandika?

By the way kila mtu huwa anakuwa frastrulated na new environment akisha zoea inakuwaga poa sana.
 
Nan atoke na kitanda matai sumbawanga mpaka msoma kagera mwanza jipange na post yako

Pesa ya kujikimu haitoshi kwa wewe kununua kitanda,hata cha futi tatu!-hyo ndio sifa yako kwa sasa! ACHANA NA MAMBO YA SUMBAWANGA,NAZUNGUMZIA MAHALA ULIPO SASA!
 
Haya kaka, mie sina hata hiyo sufuria, na unasema hana kitanda anatandika chini, ni kitu gani anatandika?

By the way kila mtu huwa anakuwa frastrulated na new environment akisha zoea inakuwaga poa sana.

Yaweza kuwa MKEKA ama GODORO!
 
Zifuatazo ni sifa za mwalimu mpya 2014; 1.hana kitanda. 2.anatandika chini 3.ana sufuria mbili 4.anatumia kuni au mkaa kidogo kupikia 5. Hana meza 6. Hana viti. 7.ni mzigo kwa walimu wenyeji kwani hajitoshelez kwa mahtaji 8. Anapga simu sana kwa ndgu na jamaa kuwalilia ya kuwa amepangwa kijijini,hajui kuwa vita huanzia msituni na kuishia mjini 9.muda mwing huwapgia wenzie na kuwaulza wamepangwa wap? EE MWENYEZ MUNGU WASAIDIE WALIMU HAWA,WALIOSAHAULIKA GHAFLA KWA KUPEWA PESA NUSU YA KUJIKIMU. AMEEN
naona umevurugwa wewe! Hata machinga mwenyewe huwa anaanza na bango la kuazima. nani kakuambia unapoanza kazi unafungasha kila kitu? ama kwa vile wewe ni mtoto wa mama? simulia sana omba yasikukute
 
Zifuatazo ni sifa za mwalimu mpya 2014; 1.hana kitanda. 2.anatandika chini 3.ana sufuria mbili 4.anatumia kuni au mkaa kidogo kupikia 5. Hana meza 6. Hana viti. 7.ni mzigo kwa walimu wenyeji kwani hajitoshelez kwa mahtaji 8. Anapga simu sana kwa ndgu na jamaa kuwalilia ya kuwa amepangwa kijijini,hajui kuwa vita huanzia msituni na kuishia mjini 9.muda mwing huwapgia wenzie na kuwaulza wamepangwa wap? EE MWENYEZ MUNGU WASAIDIE WALIMU HAWA,WALIOSAHAULIKA GHAFLA KWA KUPEWA PESA NUSU YA KUJIKIMU. AMEEN

Nadhani wewe ni mmoja wao, umejieleza vizuri sana.
 
Maisha ni hatua. Msife moyo vijana. Kuna degree/dip na cert. Za chuoni lakini na huku mtaani kuna degree/dip\cert. Za chuo kikuu cha mtaani. (university of hard knocks) hapo ndo bado mwaka wa kwanza. Pambana hacha fikra za maisha kwenye tamthiliya za kifilipino.
 
Zifuatazo ni sifa za mwalimu mpya 2014; 1.hana kitanda. 2.anatandika chini 3.ana sufuria mbili 4.anatumia kuni au mkaa kidogo kupikia 5. Hana meza 6. Hana viti. 7.ni mzigo kwa walimu wenyeji kwani hajitoshelez kwa mahtaji 8. Anapga simu sana kwa ndgu na jamaa kuwalilia ya kuwa amepangwa kijijini,hajui kuwa vita huanzia msituni na kuishia mjini 9.muda mwing huwapgia wenzie na kuwaulza wamepangwa wap? EE MWENYEZ MUNGU WASAIDIE WALIMU HAWA,WALIOSAHAULIKA GHAFLA KWA KUPEWA PESA NUSU YA KUJIKIMU. AMEEN
Sasa, ulitaka waanzeje hayo maisha labda? Au unadhan kuwa na standard life ni overnite process au???
Pointless!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom