sifa za laptop nzuri

nover

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
235
174
naomba msaada tafadhali, nataka kununua laptop tatizo specification za mashine nzuri na ya kisasa sijazijua, pia na kampun nzuri ni ipi?, kama bei inajulikana naombwa pia kujulishwa, asanten wakuku
 
kama utapata RAM yake inayonzia 1GB kuendelea ni nzuri ziadi kwani chini ya hapo ni matatizo sana..pia HARD DISK atleast 80GB dualCORE PROCCESSER speed ATLEAST 2 mengine ni mbwembwe tu inategemeana na matakwa ya mtumiaji lakini vya msingi ni hivyo.. kampuni nzuri ni toshiba na dell japo hp nazo ni nzuri ila nyingi hazina sauti labda kama una subwoofer home
 
bei unaijua mkuu
 
laptop nzuri orijino inaanzia laki saba hivi ila hata ikipungua si sana..ila kama unapenda kitu used hata laki nne na susu waweza pata kuna website unaeza tembelea ukaona bei na specification kabla hujaenda madukani usije ukauziwa kitu cha kichina
 
laptop nzuri orijino inaanzia laki saba hivi ila hata ikipungua si sana..ila kama unapenda kitu used hata laki nne na nusu waweza pata kuna website kama "www.wanachuo.com" unaeza tembelea ukaona bei na specification kabla hujaenda madukani usije ukauziwa kitu cha kichina kwa bei ya kutupa
 
Tafuta HP ingekua vizuri ambayo ni 32Bit, yenye DVD-RAM, kama walivyosema wadu amabyo ni DUAL CORE screen pana kwa upande wangu napendelea(17inch) >
 
hamna laptop nzuri kwa zote. hivyo ni sawa na kusema dame mzuri kwa wote. while kuna madame wazuri kila mtu anacho anachopenda. same with laptops, laptop nzuri depends on what you want from one. ukisema unaitaka ya kazi gani, nitaweza kukupa specs zinazofaa na price range
good day
**leh
 
laptop nzuri orijino inaanzia laki saba hivi ila hata ikipungua si sana..ila kama unapenda kitu used hata laki nne na nusu waweza pata kuna website kama "www.wanachuo.com" unaeza tembelea ukaona bei na specification kabla hujaenda madukani usije ukauziwa kitu cha kichina kwa bei ya kutupa

Kaka Asigwa umetoa maelezo ya kutosha and thanks for the website. Long live T Boyz
 
Hi mimi nimetumia HP kwa muda wa mwaka mmoja kweli imenichosha hasa kwa uwezo wa Berty yake kutunza charge. Hata wenzangu wengi wamekumbwa na tatizo hilo hilo. pia zinaharibika Webcam, na CD rom very easily. Chagua brand nyigine kama Mac, Asus, etc
 
YEYOTE ANAYEHITAJI NINAYO NZURI HP DV4-2169NR INA RAM 4GB HARD DISK GB250 PROCESSOR 2.7 x3 YAAN i3CORE
DVD WRITER MULTRECORDER ,LIGHT SCRIBE YAANI INA PRINT DVD PICHA JUU KWA DVD MAALUM, IN WEBCAM ,INA FINGER PRINT READER (UNAWEZA FUNGUA PASSWORD KWA FINNGER PRINT) HDMI PORT, SATA PORT, 2 USB PORT, TWO HEADPHONE PORT, MEMORY CARD READER SLOT, NA INA REMOTE CONTROL KAMA UNAHITAJI NIPIGIE 0654345188 AU WANATAMANI@GMAIL.COM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom