Sifa za kijinga.

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Jamaa yangu katembelewa na mama mkwe wake ambaye kaja Dar kwa matibabu, sasa kwa vile amepanga chumba kimoja ikabidi awapishe mkewe, mamake na mama mkubwa walale afu yeye aje kujihifadhi kwangu, kwa vile mimi bado bachela.
Wakati tunajiandaa kulala nikamwambia achukue shuka la kujifunika kwa kuwa usiku kuna baridi, jamaa akadai yeye hajifunikagi miksa alivyoenda Mbeya kikazi alikataa mablanketi ya gesti...
Cha ajabu usiku huu wa matisa kajamaa kamejikunja kama samaki miksa kanajikumbatia na ngumi, jamani?
 
hahahaaaa laadhidhi sobhuza usharobaro ulikuwa unamsumbua tu! BTW nimekumiss sana wangu. u knw wat nilisahau password yangu tangu jana nilikuwa nashangaika kweli kukumbuka na kujaribu other option ila ikashindikana na now natumia hii ID.......
 
Last edited by a moderator:
Ila imemkost, ameamka wa baridi kama maiti.

hahaha, kuna msela siku moja nilimbonji naye, na yeye na alisema haumwi na mbu, eti yeye ni mgumu ...... hahaha alipoamka asubuhi aliamka na malaria ya kutosha...!!
 
hahaha, kuna msela siku moja nilimbonji naye, na yeye na alisema haumwi na mbu, eti yeye ni mgumu ...... hahaha alipoamka asubuhi aliamka na malaria ya kutosha...!!

Afu unakuta vitu vingine hata havina gharama, ni just kuamua tu kutekeleza, ila mtu anataka kuchukulia umaarufu.
 
Hapo anaona aibu kwani kama ni chapa ilale kwa sana dhamira inamsuta kuwa anatumia gharama kubwa kwa maua ya dunia hadi anashindwa kupangisha vyumba viwili,

msaidie kumwelimisha kipindi hiki ambacho mlala wote maadam ni rafiki yako mpe somo ili kwa wakati mwingine aweze kukumbuka. Mapambo mbona yako tu
 
Mkoloni ft mr ebbo-sifa za kijinga

Kuna mwingine amejitangaza kwamba ni m-tz wa kwanza kupanda mlima evarest ameambulia maziwa ya kopo tu.
 
Hapo anaona aibu kwani kama ni chapa ilale kwa sana dhamira inamsuta kuwa anatumia gharama kubwa kwa maua ya dunia hadi anashindwa kupangisha vyumba viwili,

msaidie kumwelimisha kipindi hiki ambacho mlala wote maadam ni rafiki yako mpe somo ili kwa wakati mwingine aweze kukumbuka. Mapambo mbona yako tu

Inawezekana hujakaa uswazi mkuu, jamaa ni janki mdogo tu, afu hata hanaga dizaini hizo.
 
Back
Top Bottom