leroy
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,591
- 2,142
Kwa kuwa imeonekana kuwa kazi kubwa ya Makamu wa Rais ni KUKATA UTEPE KWA KUTUMIA MKASI kuzindua Majengo mbalimbali ya serikali, Shule, Zahanati, Visima vya Maji n.k. (achilia mbali ugeni rasmi katika warsha na makongamano), kuna shida gani tukiongeza Stashahada ya Ushonaji kama kigezo cha kuwa Makamu wa Rais ?