SIFA: Makamu wa Rais awe na STASHADA YA USHONAJI

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Kwa kuwa imeonekana kuwa kazi kubwa ya Makamu wa Rais ni KUKATA UTEPE KWA KUTUMIA MKASI kuzindua Majengo mbalimbali ya serikali, Shule, Zahanati, Visima vya Maji n.k. (achilia mbali ugeni rasmi katika warsha na makongamano), kuna shida gani tukiongeza Stashahada ya Ushonaji kama kigezo cha kuwa Makamu wa Rais ?
 
Ha ha haaaa, nasikia juzi alienda kukata utepe huko mwanza,barabara zote za katikati ya mji zikafungwa toka saa nne kamili mpaka saa tano na nusu, alipoenda kwenye hoteli moja katikati ya mji kunywa chai..
 
alikuweha hapa, kwanza juzi palikuwa hapatoshi majira ya 11 jioni wakati anatoka airport mwanza, gari zikawekwa pembeni kwa masaa kadhaa na jana ndo alikata utepe GOLG CRET HOTEL, semina ya GEPF. Leo waliohudhuria semina hiyo, wamepelekwa SERENGETI na baadaye BUTIAMA kutalii. naskia hawalipwi chochote zaid ya msosi tu
 
Kwi! kwi! kwi! kwi! Jf kiboko jamani, eti kuna mtu humu alisema amemuagiza mkuu amletee mkasi mwingine toka kwa wacheza samba huu umekuwa butu.
 
Kwa kuwa imeonekana kuwa kazi kubwa ya Makamu wa Rais ni KUKATA UTEPE KWA KUTUMIA MKASI kuzindua Majengo mbalimbali ya serikali, Shule, Zahanati, Visima vya Maji n.k. (achilia mbali ugeni rasmi katika warsha na makongamano), kuna shida gani tukiongeza Stashahada ya Ushonaji kama kigezo cha kuwa Makamu wa Rais ?

Hahhaaaa...!! Hii ni hatareeeee kwa kweli
 
Mkuu, unamaanisha hivi?

url

Au hivi?

url

Hata CCM naona hana kazi ya kufanya! - na wao wamemkabidhi mkasi wao pia!

url

Huyu Gaucho nae ni janga la kitaifa. Anakula kodi zetu tu, anachofanya ni upuuzi tu.
 
hahhahhaahahahhahahhaahah wana jf mmepinda....nimecheka sana leo....:A S 41::A S 41:
 
kwa kuwa imeonekana kuwa kazi kubwa ya makamu wa rais ni kukata utepe kwa kutumia mkasi kuzindua majengo mbalimbali ya serikali, shule, zahanati, visima vya maji n.k. (achilia mbali ugeni rasmi katika warsha na makongamano), kuna shida gani tukiongeza stashahada ya ushonaji kama kigezo cha kuwa makamu wa rais ?

wewe mtoa mada unafaa upewe dr. Wa heshima, kwani unafikiri sana kuliko wengi wa viongozi wetu wanaopewa dr. za heshima. Ahsante sana sana kwa kuongeza siku zangu za kuishi kwa kunichekesha sana, kwani kucheka ni afya.
 
Yaani nimecheka digitally! Kha!!Afu anavyo-concentrate utadhani anafanya kitu cha maana!
Mkuu, unamaanisha hivi?

url

Au hivi?

url

Hata CCM naona hana kazi ya kufanya! - na wao wamemkabidhi mkasi wao pia!

url

Hahahahahahahaha angalau pia awe na certificate ya kilimo ya kupandia miti mikoani na uashi kidogo wa kuchapia mawe ya msingi.
 
Kwa kuwa imeonekana kuwa kazi kubwa ya Makamu wa Rais ni KUKATA UTEPE KWA KUTUMIA MKASI kuzindua Majengo mbalimbali ya serikali, Shule, Zahanati, Visima vya Maji n.k. (achilia mbali ugeni rasmi katika warsha na makongamano), kuna shida gani tukiongeza Stashahada ya Ushonaji kama kigezo cha kuwa Makamu wa Rais ?

Huu mkasi inawezekana anasafiri nao tayari kwa kazi muda wowote!
 
Nafikiri Salama Jabir amepata msaidizi wake ktk kipindi chake cha mikasi kwani huyu ni mtu muhimu sana kwake ana mauzoefu ya kufa mtu kuhusu mikasi te te te te ehhhhhh
 
Back
Top Bottom