JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 7,519
- 7,550
jamani naomba kuuliza,ni kweli kuwa serikali ya ccm(chama cha mafisadi) imelipiga marufuku lile tangazo la sidanganyiki linalohusiana na uchaguzi ambalo linaonekana wazi kuwa lilikuwa la kuwananga wao(wataalamu wa kugawa vitenge,fulana na kukusanya shahada)?kuna jamaa amenidokeza.