Siasa

yamay

New Member
Dec 4, 2010
1
0
Kuendelea kutumia hoja za udini hata baada ya uchaguzi ni dalili za wazi za kuishiwa kisiasa Nyerere aliwahi kunena kuwa mtu yeyote anayetumia udini amefilisika kisiasa
 
mmmmmhhhhhhhh......... hata salamu za ugeni jamani..... tayari ushaingia na dini, jamani dini...... huna mpya..... JF endelea kupotezea thread hii isiyo na caliber ya great thinkers...
 
Kuendelea kutumia hoja za udini hata baada ya uchaguzi ni dalili za wazi za kuishiwa kisiasa Nyerere aliwahi kunena kuwa mtu yeyote anayetumia udini amefilisika kisiasa

Mods ... hii sub forum inahusu Katiba mpaya Tanzania... huyu infant anazungumzia dini ..... wapi na wapi.... please discard this post
 
Back
Top Bottom