siasa zimeingia hadi kwenye uhalisia

JRK

Member
Jul 10, 2012
47
11
viongozi wanasahau mambo ya maana, mfumuko huu wa bei, migomo kudai mishahara mikubwa haitaisha kamwe..
 
Join Date : 10th July 2012
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received 0
Likes Given 0

Karibu JAMVINI, JRK
 
ajira hakuna, mfumuko wa bei, madeni, wao wanajilipa posho kwa siku ambazo ni sawa na mshahara wa mtu kwa mwezi.. wkt wa mabadiliko ni sasa.. tuamke jamani..
 
Siasa ni kama hewa ya oxygen huwezin kuikwepa,cha msingi ni pumua vizuri na usiichafue ili wengine nao wafaidi
 
  • Thanks
Reactions: JRK
Back
Top Bottom