Siasa za ustaarabu

SURA SIO SOHO

Member
May 18, 2011
43
10
Kila nikitafakari mchakato wa katiba mpya napata kigugumuzi kutokana na uchelewashwaji na umakini wa jambo husika, nikitaka kwenda mbele kwa kutumia nguvu nakutana na Bango linasema demokrasia ya kweli na siasa za ustaarabu: Hivi wana jamvi ni ustaarabu na demokrasia gani hii mnayoiona? nakosa uvumilivu hapa, ndio maana najisikia kusema kama alivosema mmasai wetu( Edo) kuwa Wakimwaga Mboga yeye anamwga Ugali. Nakosa kuvumilia hapa:

Mimi ndimi njia ya kweli na Uzima Hakuna atakayeweza kuja kwa Baba bila Kupita Kwangu(Jesus):
 
Chagua moja
 
Back
Top Bottom