Siasa ya vitendo.- wanasiasa kuweni mfano sio maneno tu

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Wanasiasa na Wabunge wote mnatombea jamvi hili wa upinzani na wa chama cha magamba.

  • Katika suti na mavazi mnayozovaa mjengoni ni ngapi mmeshonesha kwa mafundi wetu au madesigner wetu wa Tanzania.?

  • Mnatumiaje madaraka yenu na nafasai zenu na vyeo vyenu kukuza na kuchochea ajira jimboni, wilayani mkoani Au tanzania yetu

  • Je wanasiasa mnajua mnaweza kuajiri watu na indirectey kwa kununua bidhaa amabazo zimetengenzwa na chanzo chake na watengenzaji wake ni Tanzania?

  • Mnaweza kutupa mfano mnatakekezaje kwa vitendo kupenda na na kunuanua bidhaa zetu za tanzania? I dont mean kununua a suti ya china au italy kwenye duka la muhindi dar.... No
Nitapenda kusikia Kuna mbunge anachongesha japo pair moja ya viatu kwa fundi fulani . anshonesha japo suti mbili kwa fundi au desinger fulani. Charity begings at home. Wachina wamefanikiwa sababu walianza na uzalendo wa vitu vidogo vidogo. Tusisingizie ubora......

Nawasilisha.......
 
Tuwaulize wabunge maswali kama haya sio wanahubiri siasa ambao hawaonyeshi mfano. Mtu sababu kawa mbunge au waziri anaacha kula Vitumbua. vya mtaani Wanatakiwa waonyeshe support kwa local community na small business
 
Back
Top Bottom