Siamini....Bibi kumbe member JF!!

hahahaaaaa.... Natamani sana kuchangia ila sema mi new comer cjajua vizuri mishale ya nyakati.

Usijali Kipipi...wewe ni he/she?............nauliza kwa maslahi yako na ya babu.
 
Hapa ni Babu na maslahi yake. Unajua kusoma katikati ya mistari?

Hivi Keren_Hapuch umemficha wapi?

Ukimwona mwambie nammisi sana eti.


Naanza kumfata babu DC kwenye ustaafu....
 
hahahaha na nnavyomjua Bibi utani kama babu hachelewi kuja na jina hilo. Bibi hebu ni PM nikonong'oneze kitu.

Inakuwaje unashiriki uchakachuzi wa hii sredi ya babu kwenye cheat chart? Hii mbaya sana...
 
Honestly, sifurahii huu ujio,uwepo wa bibi hapa JF.....utatunyima uhuru wetu na Babu....am not happy!

Sasa Michelle, dah!

Wanasemaga watoto wa kike wanawapendaga sana babu zao, na wa kiume wanawapenda sana bibi zao.

Nimekuelewa, ntamkonvisi bibi ahamie fesibuku kule.
 
Khaaaa!!! Dada yangu kumbe na wewe chini chini ulikuwa una ajenda na babu usirudi nyumbani leo uishie huko huko

hawa wabibi ni wakali sana,hakawii kuanzisha ligi na wajukuu ambao tuko wengi.....leo biryday yako,siwezi kosa kaka yangu....na najua ndo sehemu ya kumpata babu cha mwisho mwisho kabla bibi hajazoea JF akaleta za kuleta....l.o.l....mimi zaidi ya maneno matamu sina agenda na babu....:bange:
 
Back
Top Bottom