Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 17,895
- 25,945
- Thread starter
- #21
Hapana mkuu nishaga hama kwa dada zaman sana saiv naishi mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu nishaga hama kwa dada zaman sana saiv naishi mwenyewe
Asante sana ndugu yanguHongera Mkuu... Jumapili sio siku ya kufunga lakini. Uwe unakula tu, kila Jumapili ni Pasaka.
Dah pole sana ndugu yanguKwaresma nimefunga siku 13 tu..
Ulcers zanitesa nafika jioni ulimi unatoka,.
Shetan ana jeshi kubwa sana mkuu...JF "The home of Negativities"
AminaHallelujah
Mungu azidi kukutia nguvu na uzidi kubarikiwa tu
AmeeenAmina
Nashukuru kwa Maombi yako
Nawe pia ubarikiwe zaid na zaidi
Hallelujah
Sent using Jamii Forums mobile app
Bia umeacha kunywa??
Kabisa, na haya tuyafanyayo tunafanya kama ambavyo kijakazi wake anapaswa kuyafanya.Asante sana ndugu yangu
Ni lazima tumtukuze MUNGU maana sisi ni watumwa wake tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakusimamia ongeza tu bidii ya maombiMimi kwaresma hii Mungu anisamehe kwa kweli, malengo mengi niliyojiwekea yamekwenda na maji.
Mungu anisimamie niamke tena.
Ubarikiwe kwa kulijua hiloKabisa, na haya tuyafanyayo tunafanya kama ambavyo kijakazi wake anapaswa kuyafanya.
Sijatoa tangazo km lako lakini
Mkuu unawaombea sana marehemu, kwanini ?Naliombea sana mkuu
Pia nawakumbuka wajane, mayatima, watu wenye huzuni na wasio na furaha pia marehem nawaombea sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliamua nikuache uongee kwanza huku mwenzio nikiendelea kufunga sasa nimefungua sema ulikuwa unasemaje siku zileSijatoa tangazo km lako lakini
Mkuu apumzike palipo pemaMkuu unawaombea sana marehemu, kwanini ?
Pole Sana. Kama bado hujapona nitafute upate dawa ya kutibu moja kwa moja hilo tatizo na utathibitisha kwenye vipimo.Kwaresma nimefunga siku 13 tu..
Ulcers zanitesa nafika jioni ulimi unatoka,.