Siamin kama kweli ni mimi LONDON BOY

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,945
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa hili

MUNGU awabariki kabla hamjaanza kusoma uzi huu

Unajua hapa dunian kuna baadhi ya mambo unaweza usiamin kabisa kama kweli ni wewe au ni mwingine

Na unaweza ukabaki unajiuliza jee nimewezaje aisee

Bado siamin kabisa kama kweli toka kwaresma ianze ni siku moja tu ambayo nilikula mchana nayo ni juzi jumatatu

Yaan nimefunga mpaka najishangaa nakulaga saa 12-12 kesho yake

Licha ya kanisa kuruhusu kunywa maji mchana lakin mimi nimekataa na nimeamua kulipinga kanisa kuhusu hilo la kunywa maji

Mimi nimeamua tu kufuaata maneno ya MUNGU mwenyewe aliyesema RARUEN MIOYO YENU, NIRUDIEN MIMI KWA KUFUNGA KUSALI KWA KULIA NA KUOMBOLEZA

ni ajabu sana saiz nakuwa naamka saa nane usiku nasali mpaka saa tisa

Ni ajabu sana aisee

Yaan hata ndoto zangu kwa sasa naona zimebadilika kabisa sioti tena nikikimbizwa na Mbwa, simba na majoka

Kwa sasa naota nikiwa nimepanda farasi na nikiwa naona njiwa

Utukufu una MUNGU PEKEE
.HOSANA JUU MBIGUN BWANA MUNGU WA MAJESHI MBIGU NA DUNIA ZIMEJAA UTUKUFU WAKO

HOSANA JUU MBIGUNI

NI WEWE ULITANDAZA NCHI JUU YA MAJI

NI WEWE UTENDAYE MAAJABU MAKUU

NI WEWE ULIYEFANYA MBIGU KWA FAHAMU ZAKO

NAKUSHUKURU MUNGU WA MBIGU KWA KUNIBADILI

ASANTE

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jambo jema kabisa mkuu, Nakutakia kila la heri kwa safari uliyoianza Mungu akakusimamie ukapate kuimaliza salama! Kwa sisi na kazi zetu ngumu hilo hatuliwezi kabisa mkuu,,, Mungu tu atusamehe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa hili

MUNGU awabariki kabla hamjaanza kusoma uzi huu

Unajua hapa dunian kuna baadhi ya mambo unaweza usiamin kabisa kama kweli ni wewe au ni mwingine

Na unaweza ukabaki unajiuliza jee nimewezaje aisee

Bado siamin kabisa kama kweli toka kwaresma ianze ni siku moja tu ambayo nilikula mchana nayo ni juzi jumatatu

Yaan nimefunga mpaka najishangaa nakulaga saa 12-12 kesho yake

Licha ya kanisa kuruhusu kunywa maji mchana lakin mimi nimekataa na nimeamua kulipinga kanisa kuhusu hilo la kunywa maji

Mimi nimeamua tu kufuaata maneno ya MUNGU mwenyewe aliyesema RARUEN MIOYO YENU, NIRUDIEN MIMI KWA KUFUNGA KUSALI KWA KULIA NA KUOMBOLEZA

ni ajabu sana saiz nakuwa naamka saa nane usiku nasali mpaka saa tisa

Ni ajabu sana aisee

Yaan hata ndoto zangu kwa sasa naona zimebadilika kabisa sioti tena nikikimbizwa na Mbwa, simba na majoka

Kwa sasa naota nikiwa nimepanda farasi na nikiwa naona njiwa

Utukufu una MUNGU PEKEE
.HOSANA JUU MBIGUN BWANA MUNGU WA MAJESHI MBIGU NA DUNIA ZIMEJAA UTUKUFU WAKO

HOSANA JUU MBIGUNI

NI WEWE ULITANDAZA NCHI JUU YA MAJI

NI WEWE UTENDAYE MAAJABU MAKUU

NI WEWE ULIYEFANYA MBIGU KWA FAHAMU ZAKO

NAKUSHUKURU MUNGU WA MBIGU KWA KUNIBADILI

ASANTE

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
waga kuna mda simu unarudisha kwa dada?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imani yako ni haba Sana. Mnaposali msipige mayowe mpaka kuwakera wengine bali nendeni ndani mjifungie na msali kimya kimya kwani Mungu wenu atawasikia. Vivyo hivyo mnapofunga pakeni midomo yenu mafuta ili hata watu wakikuangalia wasione tofauti. Haya kilichokufanya uje utangaze huku wakati hata mfungo wenyewe hujamali huoni Kama unatupigia kelele?
 
Ni lazimwa utukufu wa MUNGU usemwe hata kama utakuwa mchungu kias gani kwa ibilis na wafuas wake

Shetan kanitesa sana mimi kwa kunikimbiza na majoka usiku ndotoni

Lakin sasa naona furaha sana maana nimeshamnyosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Kwa sasa naota nikiwa nimepanda farasi na nikiwa naona njiwa"

Hongera mkuu...
Sasa isiishie kwenye mfungo tuu,
Mkuu nimeteseka sana na ndoto za kukimbizwa na majoka, simba na mbwa
.nashukuru sana kwa sasa naota ndoto zenye utukufu sana

Unajua unaweza ukawa unadunda mchana kumbe unaombea usiku usifike ili usiote mandoto ya kutisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom