Si ulizii kuajiriwa,

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
799
Wakuu, Amani iwe kwenu wote!

Naandaa write-ups hasa;
  • development plans,
  • grant proposals and grant seeking (for not for profit projects),
  • business plans (for new and ongoing businesses either for a business M&E and/or capital seeking),
  • research proposals,
  • training manuals (on socioeconomic field)
Also conducting, facilitating and coordinating various training needs (TA) on various social, community and economic aspects.
kUJIAJIRI WITO jamani!! tusaidiane kimawazo pale ambapo wenzetu wana mawazo ya kupunguza msongamano kwenye ajira. Nawasilisha tena wanaJF mnisaidie kupata wadau wa kuhitaji huduma hizo, gharama zake ni negotiable.
 
hongera kwa kuonyesha nia ya kujiajiri maana kutegemea kuajiliwa ni sawa kujiandaa kuwa mtumwa.
Fafanua vizuri research proposal unaweza kuandika kwa shilling ngap? unatumia muda gani?
 
hongera kwa kuonyesha nia ya kujiajiri maana kutegemea kuajiliwa ni sawa kujiandaa kuwa mtumwa.
Fafanua vizuri research proposal unaweza kuandika kwa shilling ngap? unatumia muda gani?

RP inategemea; academic au consultancy, japo sifanyi sana za academic coz zina lawama nyingi hasa toka kwa supervisors!coz kila mwalimu wa research ana ufahamu wake katika aspects za proposals! but for an organization/company/individual as consultancy RP, BEI yake inategemea kama ni kuandika tu na kukukabidhi proposal ni 450,000, kama ni kuandika, then kuanalyze data na kuandika report yake sh 800,000. A little bit negotiable.

IT takes a week to finish RP, MAXIMUM 2 WEEKS for report writing!
To conduct field research it will depend on the budgeted cost of the RP.
 
...Ukiweka pia CV yako hapa itasaidia sana katika Mteja kufanya Maamuzi:
 
...Ukiweka pia CV yako hapa itasaidia sana katika Mteja kufanya Maamuzi:

SAWA KAKA, JAPO HUMU SI MAHALI PAZURI SANA PA KUTUPIA CV, privacy is very important. ILA MTU AKITAKA KUNIFAHAMU ZAIDI KIKAZI NK BASI email me, kihegam@gmail.com I will respond quickly giving you my CV. BUT shortly Ni graduate BA Economics, Namalizia Masters ya Community economic development na pia nina certificate ya Resource mobilisation, project planning and write-ups!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom