Nakuzoom upo kwa mtogore halafu umeweka hiyo kitu 🤣🤣Unakinga maji ya mvua na umeme wa solar
Hapo ndipo tunapojitenga na ulimwengu 🤣 🤣Unaeza kuta bei rahisi ila sasa ushuru utadhani umeleta mashine ya kuripua magogoni
Hapa shida kubwa ni kulitunza ukienda job unakuta mpaka kuku wamejaa humo ndani
ka uko dar unakuta kunguru amenyea humoHapa shida kubwa ni kulitunza ukienda job unakuta mpaka kuku wamejaa humo ndani
Weeeeeee 🤣 🤣 🤣Unachukua majina yao unayapeleka kwa mganga 😂
Kias gani hilo dubwasha ukubwa wa ft15,10Unachukua majina yao unayapeleka kwa mganga
Bei ya hapa bongo au bei ya nje nitalazimika kulisafirisha+gharama za traBei inaanzia £300-1,000