Si kanifanyia fujo! Sasa naenda kumpa mumewe mambo

Huyo baba mwenye nyumba naye kaoza akili. Anakutetea wewe mpangaji badala ya kumtetea mkewe?
Kwani lazima upewe lifti? Si unafanya kazi, unalipwa? Acha dezo mwanamke, heshimu ndoa za watu.

Wanaume wakati mwingine tunatumiaga makalio kufikiria.
 
Hi guys

Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu ukweli kuwa, nimekuja kupanga hapo baada ya kutengana na Mr wangu kwa Muda wakati mgogoro unasuluhishwa na wazee

Mimi ndie mpangaji pekee kwenye hiyo nyumba, tunaishi pamoja na mwenye nyumba na mkewe kwenye compound moja, wote wawili wana gari, awali, kwa heshima na maadili nilikua nasubiria lift ya mama lakini cha ajabu, anaingia kwenye gari na kuondoka kama hajaniona vile, ndipo baba akitoka ananipa lift

Sasa, baba mwenye nyumba amekua akanipa lift kila siku asubuhi maana tunatoka Muda unaofanana, kumbe Kuna ugomvi mkubwa unaendelea ndani ya familia hiyo sababu ya mimi kupewa lift kila siku, mama ana wasi wasi kuwa Kuna kitu kinaendelea kati yetu
Hata hivyo baada kuzoeana huyu bwana ameshaniomba niwe rafiki yake na amenipa pesa mara nyingi tu na ahadi ya kusamehewa kodi

Hivi karibuni, wakati naingia kwenye gari yule mwanamke alikuja kufanya vurugu na kutaka kunishusha kwa nguvu, fortunately, mumewe alimtoa kwa nguvu na sisi kuondoka, jioni nikakuta ameita watu wa welding akakata kufuli na kuweka lingine, nikakuta barua na kodi yangu kwenye bahasha kuwa niondoke jioni hiyo hiyo, nikamuita mjumbe akasema sheria hiyo haipo, ni lazima kodi iishe na notice itolewe, yule mama akagoma kufungua, tukampigia baba simu akaja akalikata nikaingia ndani

Sasa kwa udhalilishaji alionifanyia naenda kumkubali mumewe na kumpa immediately, sikua na Mpango huo licha ya kuchukua pesa zake sababu tayari nina matatizo yangu ya kutosha kuhusu ndoa na mapenzi, tumetengana na Mr Kutokana na migongano isiyoisha na pia nipo na boss wangu , hivyo sikutaka kabisa kujihusisha kimapenzi na baba mwenye nyumba, ila sasa naenda kumpa

Nonsense
Asante shemu hebu nipe mi nakuahidi kukuongeza hela huyu wife msumbufu sana nakusubiri kwa hamu
 
Dah...nitashukuruje... dah
 
UMEUA ndoa yako na sasa unataka kuua ya mwanamke mwenzako subiri ulogwe ndo utajua kuwa bora ungebaki kwa bana ako aliyekupiga chini
 
Mpe,Tena muwekee mguu mpaka dirishani
IMG-20200622-WA0004.jpg
 
Hi guys

Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu ukweli kuwa, nimekuja kupanga hapo baada ya kutengana na Mr wangu kwa Muda wakati mgogoro unasuluhishwa na wazee

Mimi ndie mpangaji pekee kwenye hiyo nyumba, tunaishi pamoja na mwenye nyumba na mkewe kwenye compound moja, wote wawili wana gari, awali, kwa heshima na maadili nilikua nasubiria lift ya mama lakini cha ajabu, anaingia kwenye gari na kuondoka kama hajaniona vile, ndipo baba akitoka ananipa lift

Sasa, baba mwenye nyumba amekua akanipa lift kila siku asubuhi maana tunatoka Muda unaofanana, kumbe Kuna ugomvi mkubwa unaendelea ndani ya familia hiyo sababu ya mimi kupewa lift kila siku, mama ana wasi wasi kuwa Kuna kitu kinaendelea kati yetu
Hata hivyo baada kuzoeana huyu bwana ameshaniomba niwe rafiki yake na amenipa pesa mara nyingi tu na ahadi ya kusamehewa kodi

Hivi karibuni, wakati naingia kwenye gari yule mwanamke alikuja kufanya vurugu na kutaka kunishusha kwa nguvu, fortunately, mumewe alimtoa kwa nguvu na sisi kuondoka, jioni nikakuta ameita watu wa welding akakata kufuli na kuweka lingine, nikakuta barua na kodi yangu kwenye bahasha kuwa niondoke jioni hiyo hiyo, nikamuita mjumbe akasema sheria hiyo haipo, ni lazima kodi iishe na notice itolewe, yule mama akagoma kufungua, tukampigia baba simu akaja akalikata nikaingia ndani

Sasa kwa udhalilishaji alionifanyia naenda kumkubali mumewe na kumpa immediately, sikua na Mpango huo licha ya kuchukua pesa zake sababu tayari nina matatizo yangu ya kutosha kuhusu ndoa na mapenzi, tumetengana na Mr Kutokana na migongano isiyoisha na pia nipo na boss wangu , hivyo sikutaka kabisa kujihusisha kimapenzi na baba mwenye nyumba, ila sasa naenda kumpa

Nonsense

Wese ni jitu jinga sana kwani nauli huna ...unaharibu ndoa ya watu kenge wewe
 
:D:D:D kichwa bila akili adhabu kwa miguu, yaani unadhani unamkomoa huyo mama kwa kugawa papuchi. Ukute huyo mama anakuonea huruma usiingie matatizoni we unamuona fala,

Mwache akapewe na mimba na kaswende, kisonono , ukimwi , malaria typhod na UTI
 
Hi guys

Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu ukweli kuwa, nimekuja kupanga hapo baada ya kutengana na Mr wangu kwa Muda wakati mgogoro unasuluhishwa na wazee

Mimi ndie mpangaji pekee kwenye hiyo nyumba, tunaishi pamoja na mwenye nyumba na mkewe kwenye compound moja, wote wawili wana gari, awali, kwa heshima na maadili nilikua nasubiria lift ya mama lakini cha ajabu, anaingia kwenye gari na kuondoka kama hajaniona vile, ndipo baba akitoka ananipa lift

Sasa, baba mwenye nyumba amekua akanipa lift kila siku asubuhi maana tunatoka Muda unaofanana, kumbe Kuna ugomvi mkubwa unaendelea ndani ya familia hiyo sababu ya mimi kupewa lift kila siku, mama ana wasi wasi kuwa Kuna kitu kinaendelea kati yetu

Hata hivyo baada kuzoeana huyu bwana ameshaniomba niwe rafiki yake na amenipa pesa mara nyingi tu na ahadi ya kusamehewa kodi

Hivi karibuni, wakati naingia kwenye gari yule mwanamke alikuja kufanya vurugu na kutaka kunishusha kwa nguvu, fortunately, mumewe alimtoa kwa nguvu na sisi kuondoka, jioni nikakuta ameita watu wa welding akakata kufuli na kuweka lingine, nikakuta barua na kodi yangu kwenye bahasha kuwa niondoke jioni hiyo hiyo, nikamuita mjumbe akasema sheria hiyo haipo, ni lazima kodi iishe na notice itolewe, yule mama akagoma kufungua, tukampigia baba simu akaja akalikata nikaingia ndani

Sasa kwa udhalilishaji alionifanyia naenda kumkubali mumewe na kumpa immediately, sikua na Mpango huo licha ya kuchukua pesa zake sababu tayari nina matatizo yangu ya kutosha kuhusu ndoa na mapenzi, tumetengana na Mr Kutokana na migongano isiyoisha na pia nipo na boss wangu , hivyo sikutaka kabisa kujihusisha kimapenzi na baba mwenye nyumba, ila sasa naenda kumpa

Nonsense
I am sorry to say this ila ww ni mpuuzi tena sanaaaa wala sio kidogo....ulishaona mkewe hataki ukaribu wako na mumewe ww unalazimisha ili iwe nini???? Ni lazima kila siku uende kazini kwako kwa lift????? Bila gari hutoki kwako kwenda kazini sasa si ununue lako!!!!! Unaenda kugombanisha wanandoa wenye maisha yao kwa ww kutojitambua afu unakuja kuandika hapa utadhan unachoongea ni chamaana kumbe utopolo mtupu hata huyo mumeo nae kumbe kakuvumilia sanaaa maana unaonekana kichwani zero.....MWANAMKE AKIKOSA AKILI ZITAKAZOUMIA KI SEHEMU ZA SIRI
 
Hi guys

Kuna huyu mwenye nyumba wangu karibu miezi 2 sasa amekua akinipa lift asubuhi wakati wa kwenda kazini, mimi ni mgeni eneo hili, ni miezi nadhan mitatu sasa tangu nihamie hapo, niseme tu ukweli kuwa, nimekuja kupanga hapo baada ya kutengana na Mr wangu kwa Muda wakati mgogoro unasuluhishwa na wazee

Mimi ndie mpangaji pekee kwenye hiyo nyumba, tunaishi pamoja na mwenye nyumba na mkewe kwenye compound moja, wote wawili wana gari, awali, kwa heshima na maadili nilikua nasubiria lift ya mama lakini cha ajabu, anaingia kwenye gari na kuondoka kama hajaniona vile, ndipo baba akitoka ananipa lift

Sasa, baba mwenye nyumba amekua akanipa lift kila siku asubuhi maana tunatoka Muda unaofanana, kumbe Kuna ugomvi mkubwa unaendelea ndani ya familia hiyo sababu ya mimi kupewa lift kila siku, mama ana wasi wasi kuwa Kuna kitu kinaendelea kati yetu

Hata hivyo baada kuzoeana huyu bwana ameshaniomba niwe rafiki yake na amenipa pesa mara nyingi tu na ahadi ya kusamehewa kodi

Hivi karibuni, wakati naingia kwenye gari yule mwanamke alikuja kufanya vurugu na kutaka kunishusha kwa nguvu, fortunately, mumewe alimtoa kwa nguvu na sisi kuondoka, jioni nikakuta ameita watu wa welding akakata kufuli na kuweka lingine, nikakuta barua na kodi yangu kwenye bahasha kuwa niondoke jioni hiyo hiyo, nikamuita mjumbe akasema sheria hiyo haipo, ni lazima kodi iishe na notice itolewe, yule mama akagoma kufungua, tukampigia baba simu akaja akalikata nikaingia ndani

Sasa kwa udhalilishaji alionifanyia naenda kumkubali mumewe na kumpa immediately, sikua na Mpango huo licha ya kuchukua pesa zake sababu tayari nina matatizo yangu ya kutosha kuhusu ndoa na mapenzi, tumetengana na Mr Kutokana na migongano isiyoisha na pia nipo na boss wangu , hivyo sikutaka kabisa kujihusisha kimapenzi na baba mwenye nyumba, ila sasa naenda kumpa

Nonsense
Dunia hii ina watu hamnazo kumbe, duuh!!

Mwenyewe unaona uko right kabisaaa
 
Pole sana Kivuruge. Ila nikwambie tu unaweza ona unamkomoa huyo mama kumbe unajikomoa. Kwa hayo uliyoyaandika kuhusu hiyo familia wewe ndio unaonekana hujielewi na ndio sababu unataka vuruga ndoa za watu. lol

Ila nikwambie tu muda unaoutumia kuvuruga ndoa za watu ungeutumia kutafakari namna ya kumaliza mgogoro na mumeo.
Nakazia hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom