Suzie
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 1,259
- 409
mbona mzee kabisa huyo wabongo bwana kama mwanaume utasikia anaitwa mzee mzee kafika mpe kiti.mwanamke ataiwa mtoto bdo mbich wakati kashafunga mzunguko wa mwez.alitakiwa kuwa na mtoto age yangu kabisa huyu mama.
Ulimshikia mama yake kadi la kliniki? Udogo wako wewe uko wapi? Tuondolee stress zako hapa