Shule ya Patandi ipo mkoa gani na jiografia yake ikoje?

Mwanashheria njaa

JF-Expert Member
Sep 24, 2018
1,790
2,325
Wakuu naomba kuuliza, kuna shule ipo mikoa ya kaskazini inaitwa PATANDI MAALUM SCHOOL, sasa nilitaka kujua ipo mkoa gani, na jografia yake ili ufike upande gari za wap na wapi, kuuliza si ujinga.
 
Iko Arusha, ni barabarani kabisa, utashukia Tengeru.

Kwahiyo kama unatokea Dar, waambie machalii wakushushe tengeru, ila ukishuka kuwa makini vibaka ni wengi sana, simu yako ifunge mkononi ili wakitaka kuiba wakate na mkono.
Wezi wa Tengeru ni zamani, kipi hicho hakuna kituo cha polisi ukuta wa Patandi na kahawa upande wa Serena kuelekea ustawi wa jamii jumlisha uwepo wa pori la Duluti
 
Wakuu naomba kuuliza, kuna shule ipo mikoa ya kaskazini inaitwa PATANDI MAALUM SCHOOL, sasa nilitaka kujua ipo mkoa gani, na jografia yake ili ufike upande gari za wap na wapi, kuuliza si ujinga.
Ipo mkoa WA Arusha wilaya ya Meru ukipanda gari yoyte ya dsm Arusha wanakushusha tengeru ndipo shule ilipo njiani pembeni na hospital ya wilaya na chuo Cha elimu mmalumu

Nakuumbusha ukiwa tengeru uchunge Sana Kuna wezi wa simu balaa wanakwea gari ikiwa kwenye motion wanakukwapua
 
Okay, kumbe ipo njiani tu, hao vibaka wachumba tu
 
Ipo mkoa WA Arusha wilaya ya Meru ukipanda gari yoyte ya dsm Arusha wanakushusha tengeru ndipo shule ilipo njiani pembeni na hospital ya wilaya na chuo Cha elimu mmalumu

Nakuumbusha ukiwa tengeru uchunge Sana Kuna wezi wa simu balaa wanakwea gari ikiwa kwenye motion wanakukwapua
Nauli dar to tengeru inacost how much
 
Back
Top Bottom