Shule Ya Msingi kufungwa kwa kuogopa Mapepo

Msongoru

JF-Expert Member
Apr 16, 2008
306
24
Ni hapa hapa Dar es salaam, katika Shule ya Msingi Mkunguni ambako watoto wapatao tisa walianguka juma lililopita kwa mapepo. Juzi zaidi ya wanafunzi 20 walianguka na kupoteza fahamu huku wengine wakiweweseka na kutaja maneno ya vitisho. Kwa kile kinachoelezwa kuwa mapepo, waalimu na hata wazazi walishauri shule hiyo ifungwe hadi wapate kwanza ufumbuzi wa swala hilo!!

Jamani hali hii itaendelea hadi lini? Mbona inzaidi kushika kasi? Muafaka wake ni nini? Mi yangu macho?
 
Serikali yetu haiamini mambo ya kishirikina
 
Hawajapata chanjo hivi karibuni? Nasikia chanjo zinaua kweli siku hizi.
 
Back
Top Bottom