Kingdom Finder
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,119
- 1,388
Niliona hii taarifa ya habari na kuona kwamba hawa watu wanaoishi hapa sio maskini kwa vile niliona ngombe wengi tu kwenye hii taarifa. Shule nyngi Tanzania zimejengwa na wanavijiji. Watu wa kulaumiwa ni afisa elimu na viongozi wa magamba wa kata kwa kutohamasisha hao watu wajue umuhimu wa elimu na kuweza kuuza mifugo yao kuchangia majengo ya shule.