Shule ya Kikongo Mwenge imefungwa

Enny

JF-Expert Member
May 26, 2009
962
130
Jamani nimesikia shule ya Kikongo iliopo maeneo ya Mwenge Dar es salaam imefungwa na wizara ya elimu.
Kama kuna mtu anajua sababu za kufungwa naomba kujuzwa maana kuna ndugu yangu alitaka kumpeleka mtoto wake pale kwani mwakani anatakiwa kuhamishiwa Kongo kikazi.
 
Haijasajiliwa kwa miaka 12 na haina hadhi ya kuwa shule kamili,majengo,na dhana za kufundishia hovyo kabisa!!!usanii.com
 
Miaka kumi na miwili,kuna wakaguzi,maafisa elimu walikua wapi cku hizo zote.SERIKALI LEGELEGE WANANCHI WAMELALA.
 
Miaka 12 halafu wanasema haijasajiliwa ina maana serikali yetu ni dhaifu kiasi hicho? Ni aibu ilioje kwa wizara husika.
 
Back
Top Bottom