Shule nzuri sana ya chekechea!

Mutensa

JF-Expert Member
Feb 20, 2009
421
90
Wakubwa,
Natafuta shule ya chekechea nzuri.

Sifa:
  1. English medium
  2. Maadili mazuri ya waalimu, na hivyo kwa watoto
  3. vizuri ikiwa along morogoro road (ubungo-kibaha) lakini kwingineko pia kutakuwa bomba endapo usafiri unapita mitaa tajwa.
  4. Shule iwe na usafiri wa kupeleka watoto shuleni na kuwarudisha nyumbani.
  5. Ni vizuri pia iwe na primary ya kuendelezea.
Tafadhari taja "minimum age" inayopokelewa.
ahsante.
 
Back
Top Bottom