Shule ni kwa ajili ya nini kama hatufundishwi kufanikiwa?

wote mnakimbilia ajira kuganga umasikini.
Aliye buni hiyo ajira tunayokimbilia ni nani? yesu wa vatican au Roma? Patron wako? na hiyo ajira tunayokimbilia kodi tuna mlipa nani Mkoloni au.

Hata ivo hizo kazi atafanya Rais mwenyewe, CEO au, hujui hata kujiajiri unajilipa? nani atanunua km wote mmejiajiri ndo maana nasema labda uko Bar unakunywa pombe zikiisha utaelewa!/
 
Sometimes huwa nafikiri ni vema mwenye njaa na masikini wanapouliza maswali wajibiwe na wakufanana nao kwani wajibiwa na Wenye nacho huisi kuzarauliwa na kutengwa by the way swali Kama hili hawezi kuuliza ama kujiuliza mtu aliye na mafanikio
 
Maarifa yaliyo ni ajiri, na nimeajiri ni kwa viwango vya primary nafuga kuku chakula natengeneza mwenyewe kwa umeme maalum wa kipekee, kingine nauza, nina fuga Mbuni, Ng'ombe wa maziwa soko kubwa tu, mshahara sigusi.

Nimeunda vingi si muda sahihi kukuelezea hapa vyote na nishani nilizopata, kwa taarifa yako ajira niliyoitoa kwa wafanyakazi wangu imeibua vipaji takribani 12. na wako vizuri. tembelea maonyesho ya sabasaba uone maajabu!!
mkuu unanichekesha sana.
First of all stop kuwa too emotional ni kama unapayuka badala ya kutumia hoja hiyo ni proof tosha kwamba mfumo wetu wa elimu umekuharibu.

Second ulichokijibu sijakuuliza.

Nimekuuliza Wewe umetumia vipi kipaji chako kuunda kitu ambacho kitasaidia taifa au wewe sio Mwafrika?

Umeleta tofauti gani africa kwa kutumia hicho kipaji?

Then wewe umeleta mambo yako binafsi ambayo wanafanya watu wa viwango vya chini yaani kila mtu anafanya ili apate chakula.

Nimekuuliza kitu kilicholeta mabadiliko kitaifa au bara zima wewe umeniletea ujasiriamali ambao hauna tofauti na mama ntilie au machinga.

Hivyo hujajibu swali bali umekurupuka kihisia.
Ni pathetic kuona msomi anaandika na kujibu kama wewe.

Hivi unajua mtu aliyetengeneza gari?
Aliyetengeneza balbu?
Alivumbua camera?
Aliyetengeneza ndege?

No doubt you don't ndo maana umeandika kuhusu ujasiriamali.

Wewe ni mfano hai kwamba mfumo wetu wa elimu ni mbovu.

Serikali badilisheni huu mfumo mbovu wa elimu.
Ni vigumu sana mimi kumuelewa Mwafrica anaye lialia ajili ya kutetea Ubora wa adui yake!! Vipaji vyangu nimevitumia vipi?? kwanza nimesoma masomo nayoyapenda nikafaulu vizuri haya haya yameniajiri, na huko ajirani nimefanya mabadiriko makubwa wanakanikubali,
Acha kurukaruka wewe.

Jibu swali.

Mfumo wa elimu tunaotumia sasa chanzo chake ni kipi?

Bidada unaongea kitu ambacho hukijui then unajipinga mwenyewe alafu unajipinga tene.
Pathetic.
Nasema tena mfumo wa Elimu yetu ume Base kwetu sisi wenyewe, siyo ulaya wala USA, unachotaka kuniambia ni taarifa za umagharibi kuhusu Elimu yetu ni wazi kuwa wale watatuponda tu!! na kuinua nchi vibaraka wao!!
Mkuu sitaki kuamini kama elimu yetu ni mbovu kiasi hiki.

Hebu nijibu kwanza.

Chanzo cha mfumo wetu wa elimu tunaotumia sasa?.

Nijibu.
Ndivo ulivofundishwa kuwa Africa ni Maskini?, sasa hapa ulijua au ulikariri? USA maskini tu wale wanalala kwenye mabox wanaita Mobile house!
Kwa hiyo USA nzima wanalala kwenye maboksi?

USA na Tanzania nani masikini?

Unajua kwamba africa inapewa misaada na hiyo USA?

Nijibu hayo maswali.

Masikini wa USA ni mtu wa kiwango cha kati africa.
Nadhani wewe utakuwa humohumo.

Mkuu kama kweli wewe umesoma basi mfumo wetu wa elimu ni mbovu kuliko nilivyodhania.

Hii inathibitisha africa watu husoma ili wapate pesa na kujua kusoma.
Lakini ujinga uko palepale.
Ndege kumi na mbili cash??
Ina maana nchi kuwa ndege inaamanisha wananchi sio masikini?

umelewa au!!!
Hapana sinywi pombe wala sheria hainiruhusu.
Ajira kwa ajiri ya kupata uzoefu na kutengeneza wigo wa wateja wako siyo kosa.
Nani amesema ajira ni kosa.

Kosa ni kusoma ili uajiriwe.
Wali unaokula kiporo na kisamvu kuna watu wamejiajili na kuajiliwa, Fenicha hizo za cha ng'ombe ulizokalia na ku type hapa ni ubunifu wa wa-Afrika, mchicha, parachichi unalikula ni ajira za watu unataka wajiajilri vipi uridhike? uache kulialia? au unadhani hao hawakwenda shule?
Mtu unajiita msomi pia kutetea mfumo wa elimu Tanzania ni bora then unaandika kama hivi?
Mkuu narudia tena wewe ni mfano hai wa mfumo wetu mbovu wa elimu.

Hivi africa na USA nani masikini?

Jibu maswali yote niliyokuuliza.
Pia tumia hoja.
Acha kutumia hisia sababu unajionesha kilicho kichwani kwako.
 
Kumbe naongea na mwana kijiji, hizi huzi jui? ISS Unaijua hizi huzijui lool!! pole!! Jeshini kwa mujibu wa sheria ulienda kambi gani kwani? tuanzie hapo!
Mkuu mbona unazidi kuprove kwamba mfumo wetu wa elimu ni mbovu kama sio mbovu basi wewe na mfumo wetu wa elimu wote wabovu.

Hilo sio swali sababu hakuna question mark.
Bali nimekwambia ndio camera zinaonyesha gizani na kila mtu anaweza kuprove kwamba ni kweli zinaonyesha gizani.

Je wewe unaweza kuprove kwamba usiku kuna wanga au wachawi wanaopaa na ungo?
Hilo ndio swali sababu kuna question mark.
Sasa nijibu.

Mkuu yaani naona kama naongea na mtoto wa chekechea jinsi unavyojibu.

Watoto wa miaka 5 ni kawaida kujibu hivi lakini sio mtu mzima aliyetumia robo ya maisha yake kusoma.
 
Jeshini kwa mujibu wa sheria ulienda kambi gani kwani? tuanzie hapo
Wapi nilandika kwamba mimi ni mwanajeshi?

Nionyeshe hiyo sehemu nilipo andika hivyo usinilishe maneno.

Alafu unafahamu kwamba anayetumia hisia kufikiri badala ya kutumia ufikiri na facts ni sign kwamba mtu huyo hajitambui?

Unadhani kati ya mimi na wewe nani anatumia hisia kufikiri.
 
Hapo nikufundishwa ujue moja jumlisha moja ni ngapi ...mambo ya kufanikiwa ni yako binafsi utapambana mwenyew ....unataka ufundishwe kufanikiwa wakati anae kufundisha mwenyew hana mafanikio...
 
education has nothing to do with schools nenda kaangalie maana ya education kwenye oxford dictionary afu uje kwenye vitu vinavyo fundishwa shuleni kwaiyo shule tunafundishwa ili tupate chet kwa namna nyingine elimu inabidi ww binafsi huweze kumrithisha mtu mwengine eiza mtoto n.k unakuwa na elim afu unamwambia mtoto nae akasome
your certificate is your brain na msingi wa elimu katika karne ya sasa ni kwamba unasomea utaalam flani ili huajiliwe na ukisha ajiliwa husahau kua tajili apa sababu ziko nying sana kwann wasomi wengi ni maskini sababu moja wapo ni hawakufundishwa elimu ya fedha (financial education) yani kukuza,kuzalisha na kuhifadhi fedha muajiliwa anajua njia moja kuzalisha fedha kwa professional aliye isomea watu wengi wanaamin wanapokua chuoni ndo wanapata elimu noo! elimu inaanza baada ya kumaliza chuo na wazazi wengi wanaamini maisha ya badae ya watoto zao inaamua shule noo! maisha ya watoto anaamua mzazi yaweje kwa kumfundisha elimu ya fedha basi kwa maelezo zaidi soma ichi kitabu
 

Attachments

  • Share 'The Business World .pdf'.pdf
    789.4 KB · Views: 6
Sijawahi kujutia maadifa niliypyapata shuleni
ELIMU niliyopata imenipa msingi wa haya ninayoyafanya Sasa
Imenipa ujasiri na kujiamini
Imeniondolea uoga na imenifanya nijiamini zaidi
Nawaza nisingeingia darasani ingekuwaje
Au ningeishia la saba
 
Pole sana mkuu....
Naona ulifanikiwa kusoma, lakini bahatimbaya hauku elimika..
Na bila kufanya bidii katika malengo yako, hakika hauto fanikiwa...🤗🤗
 
Mtu anasoma kilichoandikwa kwani kutoa google ni dhambi??
Nani kasema ni dhambi?
ndivo ulivo funbishwa huko madrasa??
Wapi niliandika mimi nasoma madrasa?

Weka hiyo sehemu niliyoandika hivyo au unazidi kuprove kwamba mfumo wetu ni mbovu au mfumo wetu wa elimu ni mbovu ukichanganya na ujinga wako ndo unapata kauli unazoandika.
hiyo ISS nani aliitaja kabla?
Ni wewe.

Nakuuliza unatambua iss ni nini maana unaandikakitu ukidhani unakijua lakini hujui kama hujui.

Sasa nijibu ISS ni nini?
 
Sisi siyo maskini na kamwe
Weka facts sio maneno ya kijiweni

Alafu unaposema sisi sijui kina nani hapa tunaongelea africa.

Now thibitisha africa sio masikini weka facts.
sasa tunaungana Africa yoote Barabara tutajenga nzuri,
Weka chanzo cha taarifa yako hiyo.

Kwamba africa inaungana.

Ukishindwa basi wewe bila shaka dunning cruger effect imekuathiri.
Narudia tena Waafrica wana akili wee ndo huna akili.
Mimi naweza kuprove kwamba africans hawana akili.

Kama africans wana akili kwanini masikini?

Je Wewe unaweza kuprove mimi sina akili?
Kama huwezi maana yake huna uhakika na kauli zako.

Kama huna uhakika na kauli zako je una uhakika gani mimi sina akili badala yake wewe ndo huna akili?
akiajilriwa na serikari yake hakuna ubaya au Kampuni ya Mwafrica mwenzake ikisogea mbele kiuchumi
Kwanini wasomi wengi waliomaliza vyuo wenye upeo kama wako wanalilia ajira ila ajira hakuna.

Unadhani kwanini hakuna ajira?
hatutaacha! kuajiliwa, lia pasuka, tuta bwia tu!
Wewe na nani?

Kwani wapi niliandika kwamba usiajiliwe?

Wewe kuajiriwa au kutoajiriwa that's non of my business.

To be honest you sound like idiot mkuu jaribu kugrow up.
Wewe ni proof tosha education system yetu ni failure.
madege tutapanda soon tutawapa hao patron wako misaada. hata wewe tutakupa mtaji
I'm not a psychologist but You're delusional.

Usisahau kujibu maswali yangu yote.

Au ukishindwa utazidi kujidharirisha na kuwa special proof kwamba education system yetu ni failure.

Serikali ikisoma jinsi unavyoandika no doubt watakubalia na mimi na kuchange education system haraka iwezekanavyo.
 
Sijajipinga ila akili kubwa lazima uone maluweluwe!
Unasema mimi natetea elimu bora ya mzungu huku nikikandamiza mfumo wetu wa elimu na wewe unautetea huo mfumo wetu wa elimu.

Bad news ni kwamba our education system is not ours.

I believe now you find out that you're an arrogant idiot.
Sorry kwa maneno makali lakini naandika uhalisia na naweza kukuthibitishia hilo.

Sasa kati ya mimi na wewe nani ni akili kubwa?
Mimi jibu ninalo bila shaka ni wewe.

Mimi sijui definition ya "akili kubwa" labda ni empty big tank of gas.
 
Wewe na nani?

Kwani wapi niliandika kwamba usiajiliwe?

Wewe kuajiriwa au kutoajiriwa that's non of my business.
Sisi africans, if is not your b/ness kwa nini unasema tunalilia kuajiliwa!?? eti hkn ajira?, ndivo unaijdanganya Mapori yooote hayo!? miviwanda yoote hii, sema tunachagua ajira ipi ndiyo ipi siyo!!
 
Weka chanzo cha taarifa yako hiyo.

Kwamba africa inaungana.

Ukishindwa basi wewe bila shaka dunning cruger effect imekuat
'' Binadamu wote ni sawa na Africa ni moja'' nani alisema haya maneno?

kwa nini tunaitwa United Republic of Tanzania? na isiwe Republic of Tanzania? Drs la nne watakujibu hili swali lako.

nikikwambia ulikuwa mtoro unakasirika haya bana!!
 
Alafu unaposema sisi sijui kina nani hapa tunaongelea africa.
Nikisema sisi manake Waafrica wote nikiwemo mimi, ni sisi hao na vyote vilivyomo, Africa siyo ardhi na miti ni watu waishio humo na kulifanya bara liwe hivo lilivo. mbona haya ni mambo ya shule za msingi? ongea ya maana basi
 
Back
Top Bottom