cha ukweli
Member
- Aug 18, 2014
- 67
- 5
- Thread starter
- #21
Du mkuu mbona ni nyingi maana shule zote za kata ada ni 70,000
Namaanisha shule za prvt mkuu!!!!
Du mkuu mbona ni nyingi maana shule zote za kata ada ni 70,000
Dah! iko poa sana mkuu... ndo shule uliyomalizia nini ?
Ndiyo shule niliyomaliza...
Iko poa sana... inaelekea hadi taaluma ya shule itakuwa nzuri ?
Itende high school Mbeya. HGE, HGL, HGK & HKL Ada 500,000 day, 1,100,000 Hostel/bweni.
Wako vizuri...mm nilisomea ECA pale...kwenda 5 to 6 kuna mchujo wa kumwezesha mwanafunzi afanye vizuri mtihani wake wa mwisho...
Mmh kuna hostel itende?..... haya
Vipi mkuu Kwani itende haina hostel ?
Ndg hostel ipo wap pale au vyumba vya madarasa vile? naijua itende zaid unavyofikiri.
Duh! mi sihuck huko Mkuu nlkuwa napita 2... muulize Ndug IPLIMO ndo alyesema itende inayo hostel...
Jf jeshiraporisi waraiiii
nenda mbezi beach hutajutia matokeo yao ni mazuri sawa na wanaolipa ada milioni tatu na kuendelea nenda hapo sikushauri uende kwengineHabari zenu wakuu! Naombeni msaada wenu kwa yeyote anayefahamu shule ya advance level ambayo ada yake ni bei nafuu naomba anijulishe... Iwe ya mchanganyiko au hata ya boyz tu.
Naomba anijulishe na ada yake ni kiasi gani!
Ahsanteni sana wakuu!