Hamna cha lugha hapa kenya kiswahili hawakijui??tena mombasa??mkuu xkalinga hii nibrudani!!dont take seriously br!Tusitafsiri lugha za wenzetu kwa maana zetu,tutakua tunakosea sana.wenye lugha waachiwe wenyewe!!!mfano wahindi na wajapani wana majina yao kikwetu ni matusi ila kwao haina maana chafu.Hata maneno yetu mazuri huenda kwa wengine ni vituko.tusiulize ni wapi ilipo na wao wanamaanisha nini kikwao