Shukuru nimerudi!

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Mke WA RAFIKI YANGU KAJA KULALAMIKA KUWA KAMUULIZA MMEWE "MBONA KILA SIKU UNARUDI NANE TISA USIKU "KWA NINI?

JAMAA KAJIBU SI USHUKURU NARUDI!

NIMESHINDWA LA KUMSHAURI

WANANDOA PLEASE TUSAIDIANE HUYU JAMAA ANA MAANA GANI?

NA DADA HAELEWI TUMSHAURI VIPI?
 
jamani jamani ndoa,,,,,,,,,,,,,,,, si ya kuchekesha lakini subhanallah ilibidi nicheke,,,,,, asema si ushukuru narudi,,,,, lol mume sie huyo,,,,,
 
Hivi kipi jema.... Aende alale huko huko asirudi au arudi nyumbani hata kama ni kwa kuchelewa?

Mpendwa Nilham, ndoa ni kitendawili kigumu sana... huyo ni mume ndio maana anaishi na huyo dada, sema mazingira yanayomfanya arudi saa 8 - 9 usiku wewe huwezi kuyajua, ni wao wawili ndio wanayajua.... inawezekana huyo mama ndio chanzo cha baba kurudi alfajiri... Waombe Mungu awaongoze katika ndoa yao...
 
Askofu mahubiri yako ya hapo juu kidogo yanautata. kuna jema hapo?
 
aamin ya raab........lakin si uzuri kurudi nyumbani kwako saa 2 au3 usiku..kwani hata kama kuna sababu ni kukaa na kuizungumza tuu kuliko kuumizana nafsi kiasi hicho......
 
Hakuna jema, lakini bora nusu shari... asiporudi utakuwa na wasi wasi sana kwa sababu hujui kimemkuta nini na hujui kalala wapi, lakini akirudi hata kama amechelewa at least unajua yuko hai... Kesi nyingi kwenye ndoa zinakuwa kwamba mwanaume anachelewa kurudi nyumbani...

aamin ya raab........lakin si uzuri kurudi nyumbani kwako saa 2 au3 usiku..kwani hata kama kuna sababu ni kukaa na kuizungumza tuu kuliko kuumizana nafsi kiasi hicho......

Sio vizuri na sio heshima... lakini kuta nne za nyumba zinaficha mambo mengi sana kwenye ndoa, Mungu ndo anajua (ofkozi na Askofu... wakija kuungama)
 
kweli shukuru amerudi wengine wanapoteaga siku tatu halafu akifika mziki wake sikilizia kwa jirani oneni watu wanacheka huko nje hakyanani izi ndoa azijua Muumba
 
Tumshauri vipi huyu dada,

Tumwambie ndio maisha ya ndoa au?
 
mke wa rafiki yangu kaja kulalamika kuwa kamuuliza mmewe "mbona kila siku unarudi nane tisa usiku "kwa nini?

Jamaa kajibu si ushukuru narudi!

Nimeshindwa la kumshauri

wanandoa please tusaidiane huyu jamaa ana maana gani?

Na dada haelewi tumshauri vipi?

there are sooo many ways to look at it, hebu fikiria mume asingerudi halafu mama anapigiwa simu kwamba mumeo yuko mochwari?? Si vyema ashukuru?
 
NATA mpenzi inakuwa ngumu sana kutoa ushauri wa moja kwa moja kuhusu matatizo ya ndoa embu kwanza dada aangalie kuanzia mwanzo jamaa ameanza hiyo tabia sasa au toka walipooana je kuna jambo mumewe amewahi kumlalamikia halipendi kwake na hakutaka kujirekebisha,
maana saa nyingine tunakuwaga wepesi kulalamika sana kuhusu wenzi wetu bila kuangalia sisi tukoje

nashauri akae amuulize kwa upole tena siku ambayo anamuona yuko ana furaha na sio wakati amerudi usiku asitake majibu ya haraka hawa watu unaweza kumueleza kitu leo akafanya baada ya wiki ili kuonyesha tu yeye ni nani ndani nyumba na anahitaji heshima

au ameshaona sign zozote labda ana mahusiano mahali,hajali familia,akiwa amerudi huwa mlevi sana na anafanya ivo kila siku etc
 
Hivi kipi jema.... Aende alale huko huko asirudi au arudi nyumbani hata kama ni kwa kuchelewa?

Mpendwa Nilham, ndoa ni kitendawili kigumu sana... huyo ni mume ndio maana anaishi na huyo dada, sema mazingira yanayomfanya arudi saa 8 - 9 usiku wewe huwezi kuyajua, ni wao wawili ndio wanayajua.... inawezekana huyo mama ndio chanzo cha baba kurudi alfajiri... Waombe Mungu awaongoze katika ndoa yao...

Inategemea huyo dada anamuulizaje, swali au akiwa na jibulake tayari!. Sometimes maswali ya kipuuzi yanahitaji majibu ya kipuuzi. Ungetwambia huwa anatoka nyumba ndogo basi ni bora asirudi (mchafu)
 
there are sooo many ways to look at it, hebu fikiria mume asingerudi halafu mama anapigiwa simu kwamba mumeo yuko mochwari?? Si vyema ashukuru?

Sasa tunamshauri vipi ili aelewe haya
 
Atulie afanye evaluation,lazima kuna mwanzo wa haya yote,muulize vizuri na muulize kama kuna kitu unaweza fanya abadilike........then ukiona hayuko tayari,nafikiri mpe space kama una pa kwenda kukaa nenda,akirudi akakuta nyumba yake hapo nafikiri utapata jibu naye ataamua kama bado anakuhitaji. au lah.again,men do not worth all this efforts za wewe kuvumilia miaka,maisha mafupi sana haya.have fun!
 
Kama nindoa lazima walifikishe kwa washenga na wazazi!!ila ilipofika mme kaishalishwa vyakulishwa mpaka amekuwa hana woga na mkewe na yupo radhi kumtaliki mkewe lamsingi nimke kujifunga kibwebwe nakupigania haki yake!!asitake kushindana kwani mwenzake ameishaona simalikitu hata akiondoka ndiyo maana nakuwa na uthubutu wakusema hivyo!!
 
Back
Top Bottom