Shukurani kwa jf na wadau wote.

kililililililililiiiiiiiiii........ayi ayi ayiiiiiii........rangi ya sherehe ni gani....? nipe nianze kushona sare saa hii......
 
Congratulations!.... Goodluck and all the best.
 
Du mke umempatia JF kweli ama JF imekupa tips za kupata mke bora? No comment is also comments:mwaaah:
 
kililililililililiiiiiiiiii........ayi ayi ayiiiiiii........rangi ya sherehe ni gani....? nipe nianze kushona sare saa hii......

preta, kusema amempata sio kwamba ndio kuna sherehe,inawezekana wanaanza maisha kwanza, sherehe zitafuata
 
Niko tayari kuchukua majukumu ya kuwa Kiongozi katika kamati ya maandalizi na kupokea michango.
 
Preta eeeh! kama vp tuamie kwenye PM.. I see our future w together; labda ndio bwana katufunulia!
 
Last edited by a moderator:
Jamani napenda kutowa shukrani zangu zote kwa JF na wadau wake wote kwani nilikuwa natafuta MKE nashukuru nimempata,JF ipo juu na wadau wote tupo juu.

Iweje ufunge harusi ki- episode,secretly? kwani ulimpora mtu? hata kutualika kwenye sherehe hukutaka!!! basi tukumbuke kwenye kuvunja kamati.
 
Hongera sn Broo..karibu kwenye chama ila angalizo tu kuwa mfunge ndoa cyo mnaanza kuzaa then mnakuja kupasha kiporo moto..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom