Shukrani wote walioshiriki namna moja ama nyingine mazishi ya mpendwa wetu"""mama pdidy""

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,150
[h=6]
[/h][h=6]ndugu wapendwa
naomba kutoa shukran za dhati kwa wale wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine kufanikisha mazishi ya mama yangu mpendwa alitwaliwa na bwana hivi karibuni ,upendo wenu naomba uendelee kwa kila mmoja wetu mungu wa mbinguni awabariki na kuwaongezea pale palipopungua"bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe""[/h]
 
Aisee!!......kumbe ndio maana nilikuwa naona something is missing here in JF!
Pole sana Kamanda.

John 3:16 God loved the people of this world so much that he gave his only Son, so that everyone who has faith in him will have eternal life and never really die. (CEV)
 
Mungu aendelee kukupa moyo wa subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwako. Pole sana mkuu.

RIP mama yetu mpendwa.
 
Pole sana mkuu P,
Hii ni safari ya kila mmoja wetu na Mungu ana mpango na kila jambo. Karibu sana mkuu, uwe na amani na nguvu tele ya kuyakabili yale ya mbeleni.
 
Back
Top Bottom