Ubarikiwe sana.....hilo tangazo lakini wengine wale wa ile dini watasusa naona kutembelea jf.........lol........ YoYo..... Dah! BTW nimeipenda sig yako.... Ni ya ukweli.
"Tafuta jinsi ya kuishi maisha yenye uzima wa milele na kupokea msamaha toka kwa Mungu"
Kule Jukwaa letu waweke KONYAGI na AMARULA
Kama vp mwishoni mwa page liwekwe la KIPAPLIPAPLI!
aisee arifu...... mtauana kule
Ubarikiwe sana.....hilo tangazo lakini wengine wale wa ile dini watasusa naona kutembelea jf....
Mama....kuna watu wanaweza kuandamana kuwa jf imekuwa klabu ya mvinyo.....si unajua hizi dini zetu....hukumbuki mwanamama yule wa nyimbo za injili aliponea chupuchupu kutengwa kanisani kwao kisa alifadhiliwa na kampuni maarufu kwa uzalishaji wa mvinyo yenye jina la mlima maarufu......Kuna maana gani kususa kama utakuja na ID nyingine? lol.... Mimi sielewi Invisible kafanya nini hapa JF to the extent a person can not keep away kabisa! lol
View attachment 46004Nimepeda tu rangi ya hiki kinywaji! Green for life!!
Astaghfirullah! :shock:Mi naomba watoe hiyo makitu watuwekee ta Tusker Malt Baridiiiiiiii!
Ile kitu aliyeigundua Mungu ameshamsemehe dhambi zake zote......
Huwezi gundu makitu tamu namna ile afu ukaenda motoni....Never!
Umejuaje?....kumbe magenious tupo wengi humu...lol!Wewe uatakuwa YANGA na CCM........ngoja upungukiwe damu ndio utaijua SIMBA :lol::lol: